mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo alipunguza si chini ya miaka mitano duAfrica kudanganganya umri kawaida, nina rafk yangu alikua mbao fc U20 wakati huo mimi na miaka 23 na tulivokuwa shule alikua anasema ananizidi mwaka mmoja shangaa hapo!! Africa tuachane na mambo ya umri hatuwezani nayo