Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Balaaa tupu aisee ile turning ya barcola goli la nne ni nyokoooo!Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Mweee huyo yamal atawekwa mfukoni mwa nuno mendezWakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi 🙌
Barca, kwa defense ipi mkongwe!?Wakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi 🙌
Udambwi udambwi utakuwa mwingi sanaMweee huyo yamal atawekwa mfukoni mwa nuno mendez
Barcelona hii ya kuruhusu kufungwa magoli mengi na Inter Milan mbovu ile?Wakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi 🙌
Barca, kwa defense ipi mkongwe!?
Hii Barca iliyoiruhusu Inter ipate goli saba katika mechi mbili?
Atapigwa kama ngoma!!!
Madrid ni wabovu sanaaa! Kupigwa nyingi ni kawaidaSawa lakini mpira hauchambuliwi hivyo mkuu, ukisema hivyo mwingine atasema mbona Barcelona kajipigia sana RMA hadi goli 5-0 nje ndani kama zote
Hao Hakimi na Nunes mali ikizagaa miguuni mwao unashtuka mpira umebusu nyavu.Balaaa tupu aisee ile turning ya barcola goli la nne ni nyokoooo!
Vitinha ndio usiseme mpira anaupapasa tuu.
Lends u the ball then takes it back, huku hakimi ndio balaa anapamda kama anashuka.
Hii timu imekamilika kila idara mzeya raha sana kuichemi ikicheza
Wote haonutawatafuta aisee....leo madrid sii umeona hamna cha vincious wala modric.Udambwi udambwi utakuwa mwingi sana
Wakimkaba Yamal kule kuna Raphinha, Ferran au Lewy
Dimba la kati kati kuna nyungu nyungu Pedri
Imeisifia sanaaMuda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Barca hiihii au ile ya Messi?Wakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi [emoji119]
Alafu huyu bwana mdogo first time namuona nikasema mwee mtu mwenyewe sura ya kike kike boli atalijua wapi.....weeeee!!! Hiyo first touch yake, fient fakes and turns zake balaaa.Hao Hakimi na Nunes mali ikizagaa miguuni mwao unashtuka mpira umebusu nyavu.
Hii timu hapana aisee!
Huyo Barcola ni mbwaaa, na miguu yake kama spoku!
Bench player unakuwa na sifa kama kitu gani!!!
Wote haonutawatafuta aisee....leo madrid sii umeona hamna cha vincious wala modric.
Hii psg moto wa kuotea mbali
Nakupata vyema sana mkongwe!Sawa lakini mpira hauchambuliwi hivyo mkuu, ukisema hivyo mwingine atasema mbona Barcelona kajipigia sana RMA hadi goli 5-0 nje ndani kama zote
Barcelona hii ya kuruhusu kufungwa magoli mengi na Inter Milan mbovu ile?
Nakupata vyema sana mkongwe!
Nachosema ni kwamba defense ya Barca itawagharimu dhidi ya hii PSG.