M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 3,253 Reaction score 9,736 Aug 5, 2026 #1 Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Aug 5, 2026 #2 Kwani kuwa na mtoto lazima?
Oho JF-Expert Member Joined Jul 21, 2026 Posts 477 Reaction score 1,258 Aug 5, 2026 #3 mkata uzi said: unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja? Click to expand... Kupata mtoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
mkata uzi said: unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja? Click to expand... Kupata mtoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Aug 5, 2026 #4 Duniani tabu tupu unaleta mtoto aje afanye nin? Ateseke kama mm tu kuzaliwa, kuoa, na kufa?