Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Achana na Hao madogo, hayo uliyoeleza kama yatatokea kwa mkeo utatulia tu bila kufanya chochote?
 
wewe umeandika unajua au umeandika tu kunipinga?
na umeandika vitu hata visivyohusiana, wewe ndio jaribu kutumia ubongo
OK siku itapoletwa taarifa umepigana kisa kugombania mwanafunzi wa form 2 ndio utajua hujui na naombea ikukute.
 
OK siku itapoletwa taarifa umepigana kisa kugombania mwanafunzi wa form 2 ndio utajua hujui na naombea ikukute.
Chief nadhani hauko sawasawa, hebu pumzika kidogo.

Usidhani unalowaza wewe, wengine nao wanawaza hivohivo. Watu tunatofautiana sana katika maamuzi.
 
Chief nadhani hauko sawasawa, hebu pumzika kidogo.

Usidhani unalowaza wewe, wengine nao wanawaza hivohivo. Watu tunatofautiana sana katika maamuzi.
wewe kichwa kigumu sana jamaa, hayo maamuzi yako mwenzio unamaamuzi kama yako mbona Concept ndogo nahisi JF kuwe na vigezo vya MTU kujiunga sasa, wewe umeamua kuea Cool mwenzio kakurushia panga uwo mwanzo wa nini.

Baki na ukichwa nazi wako siku yatapo kukuta ndio utashika akiri.
 
Chief nadhani hauko sawasawa, hebu pumzika kidogo.

Usidhani unalowaza wewe, wengine nao wanawaza hivohivo. Watu tunatofautiana sana katika maamuzi.
wewe kichwa kigumu sana jamaa, hayo maamuzi yako je mwenzio unamaamuzi kama yako ? mbona Concept ndogo nahisi JF kuwe na vigezo vya MTU kujiunga sasa, wewe umeamua kuea Cool mwenzio kakurushia panga uwo mwanzo wa nini.

Baki na ukichwa nazi wako siku yatapo kukuta ndio utashika akiri.
 
Huo ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?

ukiona mtu anakimbilia kutukana jua hamna kitu.

haya, nakupa nafasi nyingine ya kutukana
 
Mkuu usiongee maneno hyo,,,,kumbuka kuna kupigana na kupigwa..unajuwaje pengine marehemu alikuwa na binti huyo mahali fulani,,,,baadae akatokea huyo muuaji akaanza kumpiga marehemu?sasa unapopigwa ni kutulia hadi jamaa anayekupiga hasira ziishe?au kujibu mapigo?ni kweli dunia ya leo sio vyema kugombea mwanamke,,, lakini inatokea mmoja wapo hakubali kumwacha mwanaume mwenzie aende bure,,,lazima ampige hata kama jamaa kakubali kuondoka na kumwachia mwanamke.... Wapo watu wapumbavu wa aina hyo,,,,Mimi simlaumu marehemu Bali namlaumu muuaji,,,,inawezekana ni yeye aliyelazimisha ugomvi,,,,
 
nyie acheni tuu.wadada wengi wa tanga wanatoa tigo sana.na unapiga ht magoli 6 huko wala huskii akisema anaumia
 
Hawa jamaa, walifumaniana hostel wakaanzisha mtiti.

katika hali kama hiyo kwa nini usikimbie kuepusha majanga, maana kwenye ugomvi wa mapenzi mara nyingi hakuna anaekubali kushindwa mbele ya demu.

Mimi natimka, naomba msaada huko mbele kwa mbele ukitaka kuvimba mnatoana roho kama hivi na majuto yanakuja baada ya tukio.

Wanaokimbia kwenye mambo kama haya sio kwamba hawana nguvu, wanaepusha majanga.

Sasa hapa nani mwenye faida?
 
Hichi ndicho nachomwamwambia mtoa mada yeye anakaza kichwa, mtoa mada ana low reasoning uwezo wake wa kufikiri ni mwembamba sana.
 
Hichi ndicho nachomwamwambia mtoa mada yeye anakaza kichwa, mtoa mada ana low reasoning uwezo wake wa kufikiri ni mwembamba sana.
Eheee Great thinker tupo tunakusikiliza, kumbe mtoa mada ni kilaza? 😛 😛

Hebu tukusikilize sasa man mwenye IQ kubwa

Bado narudia ukiona mtu anakimbilia matusi kama silaha yake ya kujihami, jua hamna kitu.

Jf bhana hahaha
 
Haya mambo Suleiman alifanya hitimisho na kusema ni ubatili . mhubiri 9.
Na pia tutazunguka sana lakini mwisho wa siku mapenzi /ngono ndio yamesababisha haya yote.
Ndio maana ukisoma kitabu cha st.augustine confession Kuna mahali anasema
"Sex drives dogs of war into self destruction"[emoji848]
Through love we create our own monsters within us.
Mungu atusaidie sana kundi la ujana maana ndio tupo vulnerable na haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…