Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Acha kuweweseka wewe chadomo,ajenda iko wazi kukagua uhai wa Chama na kusikiliza kero za Wananchi.

Hayo unayoyasema kayawekenimkuws ajenda huko mnakoandamana 😁😁

Mwisho Moja ya kero kubwa anazosikoloza ni zinazohusiana na Haki.

View: https://www.youtube.com/live/OpB4WlbnBG0?si=zFlr1wAfBB7-_GoU
 
Anatumia mamilioni.ya fedha kusafiri na kulala kwenye mahotel huku akimpatia muuza ndizi laki moja.
 
Sio kazi yake hiyo yaan katibu mwenezi aje kutatua changamoto ya umeme waziri yuko wapi? Naibu wzir yuko wapi?
Wote wanakaa meza moja lakini anataka kuhadaa wananchi tu.
Wamalizane huko huko.
 
Bongo movie....haweI kujenga hata choocha shule sasa anatatuaje kero?
Anatoa maagizo kwa wahusika wa sekta sema nyny chadema maadam wapingaj tu ndy hvyo ila anawahenyesha wakurugenzi wanashika adabu
 
Agenda zote hizo form four failure atazijadili vipi ?
 
Acha kuweweseka wewe chadomo,ajenda iko wazi kukagua uhai wa Chama na kusikiliza kero za Wananchi.

Hayo unayoyasema kayawekenimkuws ajenda huko mnakoandamana 😁😁

Mwisho Moja ya kero kubwa anazosikoloza ni zinazohusiana na Haki.
Hahahaa.....hizo kero akawambie Mawaziri wanakaa naye meza moja huko Maporini anawahadaa tu.

Kero zimeletwa na chama chake.
 
Anatoa maagizo kwa wahusika wa sekta sema nyny chadema maadam wapingaj tu ndy hvyo ila anawahenyesha wakurugenzi wanashika adabu
Maagizo gani wakati waliokiuka wako nayw meza moja huko huko maofsini?
 
Utukufu wa Mungu umeondolewa na wamebaki makapi. Ni Kiebrania hiko
Utawala wa CCM kuongoza Taifa letu utaendelea mpaka daima.uhai wa Taifa letu upo mikononi mwa CCM.kwa hiyo huwezi kuitenganisha CCM na Taifa letu.
 
Utawala wa CCM kuongoza Taifa letu utaendelea mpaka daima.uhai wa Taifa letu upo mikononi mwa CCM.kwa hiyo huwezi kuitenganisha CCM na Taifa letu.
Are you for REAL?

Ushubwada uliouandika ni sehemu ya kuharakisha anguko.
 
Matanzania nayo ni mazuzu kupitiliza. Yanachangamoto kibao zilizoshindwa kutatuliwa na serikali ya CCM, lakini yakisikia CDM inasemwa na Makonda yanashangilia!!?? Kama mazombi! utadhani labda hayo matatizo yao yameletwa na CDM. Matanzania ni MAZUZU acha yaendelee kuongozwa na MAZUZU tu.
 
Shehe Huna Redio Huna Tv hata kweny Cm Pia Huoni? Hebu nitumie namb yako PM nikuwekee bando uone shuhuli ya mwenezi, hujui hata yaliojili pangan?
Hamna kitu achana na maigizo yale..akiondoka imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…