Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Matanzania nayo ni mazuzu kupitiliza. Yanachangamoto kibao zilizoshindwa kutatuliwa na serikali ya CCM, lakini yakisikia CDM inasemwa na Makonda yanashangilia!!?? Kama mazombi! utadhani labda hayo matatizo yao yameletwa na CDM. Matanzania ni MAZUZU acha yaendelee kuongozwa na MAZUZU tu.
Makonda anajua kuyaburuza
 
Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?

Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.

Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.

Pili ni kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi. Kwa hiyo ziara hiyo ya chama inakwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao zote,ikiwa ni pamoja na namna wanavyohudumiwa na serikali yao, changamoto zao zinavyotatuliwa.ndio maana unaona namna ambavyo chama kimeendelea kuwapokea watu wa aina mbalimbali wenye kero na kutatua kero zao lakini katika mchakato huo chama kinatoa maagizo kwa viongozi wa serikali mikoani kuanzisha kliniki ya kupokea na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutatua ,ambapo agizo hilo la chama limetekelezwa haraka sana na kwa sasa kliniki hizo zimeshaanza kazi mikoa yote hapa nchini.

Tatu ziara hiyo imekuwa katika kuangalia uhai wa chama,l wa namna kinavyokubalika, kupendwa,kuungwa mkono na nguvu yake .ambapo chama kimeona kuwa bado kina nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa wananchi,bado kinaaminika,bado kinaungwa mkono,bado kinapendwa sana na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu wanamiminika na kufurika kwa wingi sana katika mikutano ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Makonda katika ziara hiyo ya kihistoria hapa nchini.

Kwahiyo usikurupuke katika kuandika vitu usivyo vielewa.ni bora ingetuuliza wenye chama chetu ili tukupatie majibu.
Umezidi uchawa wewe kunguni
 
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.

Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.

Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.

Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile

1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.

5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.

Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.

Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.

Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.

Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
CCM yote inamtegemea Makonda mmoja.....?
 
Unateseka ukiwa wapi Bush Dokta?
 
Paul Mkaonda: Mwaka huu mtaota nywele kichwani,atema Cheche Kwa DED 🔥🔥

View: https://www.youtube.com/live/OpB4WlbnBG0?si=zFlr1wAfBB7-_GoU
 
Na Tume huru iwepo ndio utaona
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.hii ni kutokana na kuwa na sera zuri na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.
 
Thubutu ...jipe matumaini hewa
 
Back
Top Bottom