Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #81
Endeleeni na maigizo huu sasa ni mwaka wa, 60+, ccm ilishafeliMagari yapi ya serikali yanayomilikiwa na chama? Chama kina magari yake na kila aina ya rasilimali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni na maigizo huu sasa ni mwaka wa, 60+, ccm ilishafeliMagari yapi ya serikali yanayomilikiwa na chama? Chama kina magari yake na kila aina ya rasilimali.
Jinga mwenyewe atakuwa anakuinamishaJinga kubwa wewe.unafahamu lengo la ziara ya Mheshimiwa Makonda au unakurupukia tu hapa na mibangi yako kichwani?
Haa Anafanya Lolote Linalomjia Akimua Kumdharirisha Mtu SawaLeo sijui atasuluhisha akina nani
Acha matusi basiJinga mwenyewe atakuwa anakuinamisha
Kwenye hilo amekomaa sanaHaa Anafanya Lolote Linalomjia Akimua Kumdharirisha Mtu Sawa
Huo unaouita uigizaji wa Magu ndio ulisaidia kudhibiti mifumuko ya bei za bidhaa kiholela, migao ya umeme na hata kuanzisha miradi ya maendeleo na kukamilika kwa wakati, hizo ziara za Makonda zinaweza zisiwe na tija kwako lkn kwa watanzania wengine ktk maeneo yao zikawa na tija.Magu ndio bingwa wa maigizo ya hivyo, ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi itabidi apore uchaguzi, maana alijua matokeo ya kweli itakuwa fedheha kwake na chama chake. Yaani utembee na msururu wa magari yote hayo ya serekali kwenda kuwa msulihishi wa ndoa. Angetatua changamoto za umeme, maji, afya, gharama za maisha hapo angalau. Lakini hayo yote yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga.
Bashite anaendesha cheap politics kwa kuwa anafahamu fika wananchi wengi ni mazuzuYaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Huyu mbwiga ndiye kaanza kunitukanaAcha matusi basi
Nimecheka kwa nguvu kinoma.Ni moja ya kazi zake coz chama kipo kutumikia raia leta hoja nyngn hy dhaifu kama misimamo ya chadema
Hakuna kitu alifanya yule mzee zaidi ya kuwaza uchaguzi tu.Huo unaouita uigizaji wa Magu ndio ulisaidia kudhibiti mifumuko ya bei za bidhaa kiholela, migao ya umeme na hata kuanzisha miradi ya maendeleo na kukamilika kwa wakati, hizo ziara za Makonda zinaweza zisiwe na tija kwako lkn kwa watanzania wengine ktk maeneo yao zikawa na tija.
Punguza chuki utaweza kuyaona hata yale mazuri japo unaumia😀
Mwache usije kuwa kama yeyeHuyu mbwiga ndiye kaanza kunitukana
Lzm ushie kucheka coz huna hoja wewe wala mbowe yaan kama magu angewepo vile ili mwakan musikanyage kabisa bungeni 😄Nimecheka kwa nguvu kinoma.
Bila shaka hujamuelewa mleta madaJamaa anapambana sana anasikiliza kero za wananch jambo ambalo hata rais hafanyi anapita nyayo za magu mule mule
Kumbe hata RPC wote ni wa CCM naona anawafokea kama watotoUnaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?
Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.
Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Pili ni kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi. Kwa hiyo ziara hiyo ya chama inakwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao zote,ikiwa ni pamoja na namna wanavyohudumiwa na serikali yao, changamoto zao zinavyotatuliwa.ndio maana unaona namna ambavyo chama kimeendelea kuwapokea watu wa aina mbalimbali wenye kero na kutatua kero zao lakini katika mchakato huo chama kinatoa maagizo kwa viongozi wa serikali mikoani kuanzisha kliniki ya kupokea na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutatua ,ambapo agizo hilo la chama limetekelezwa haraka sana na kwa sasa kliniki hizo zimeshaanza kazi mikoa yote hapa nchini.
Tatu ziara hiyo imekuwa katika kuangalia uhai wa chama,l wa namna kinavyokubalika, kupendwa,kuungwa mkono na nguvu yake .ambapo chama kimeona kuwa bado kina nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa wananchi,bado kinaaminika,bado kinaungwa mkono,bado kinapendwa sana na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu wanamiminika na kufurika kwa wingi sana katika mikutano ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Makonda katika ziara hiyo ya kihistoria hapa nchini.
Kwahiyo usikurupuke katika kuandika vitu usivyo vielewa.ni bora ingetuuliza wenye chama chetu ili tukupatie majibu.
Huo unaouita uigizaji wa Magu ndio ulisaidia kudhibiti mifumuko ya bei za bidhaa kiholela, migao ya umeme na hata kuanzisha miradi ya maendeleo na kukamilika kwa wakati, hizo ziara za Makonda zinaweza zisiwe na tija kwako lkn kwa watanzania wengine ktk maeneo yao zikawa na tija.
Punguza chuki utaweza kuyaona hata yale mazuri japo unaumia😀
Utauponza kaka Luka, CCM ina yenyewe ndiomana hata huyo unayemsifia kuna muda aliwekwa benchi..!!Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?
Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.
Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Pili ni kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi. Kwa hiyo ziara hiyo ya chama inakwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao zote,ikiwa ni pamoja na namna wanavyohudumiwa na serikali yao, changamoto zao zinavyotatuliwa.ndio maana unaona namna ambavyo chama kimeendelea kuwapokea watu wa aina mbalimbali wenye kero na kutatua kero zao lakini katika mchakato huo chama kinatoa maagizo kwa viongozi wa serikali mikoani kuanzisha kliniki ya kupokea na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutatua ,ambapo agizo hilo la chama limetekelezwa haraka sana na kwa sasa kliniki hizo zimeshaanza kazi mikoa yote hapa nchini.
Tatu ziara hiyo imekuwa katika kuangalia uhai wa chama,l wa namna kinavyokubalika, kupendwa,kuungwa mkono na nguvu yake .ambapo chama kimeona kuwa bado kina nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa wananchi,bado kinaaminika,bado kinaungwa mkono,bado kinapendwa sana na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu wanamiminika na kufurika kwa wingi sana katika mikutano ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Makonda katika ziara hiyo ya kihistoria hapa nchini.
Kwahiyo usikurupuke katika kuandika vitu usivyo vielewa.ni bora ingetuuliza wenye chama chetu ili tukupatie majibu.
Naielewa vyema sana CCM.ndio maana nipo CCM na naendelea kuwa CCM na nitabaki kuwa mwana CCM kindaki ndaki.Utauponza kaka Luka, CCM ina yenyewe ndiomana hata huyo unayemsifia kuna muda aliwekwa benchi..!!
Wewe uko maporini unaelewa nini kuhusu CCM zaidi ya kufanya mapambio
Mimi ndio nakwambia CCM ina yenyewe acha ubishi..!!! Ungekuwa unaijua ss hivi ungekuwa huku town, umezungukwa na warembo..!!Naielewa vyema sana CCM.ndio maana nipo CCM na naendelea kuwa CCM na nitabaki kuwa mwana CCM kindaki ndaki.
Hivi upoyoyo na uchawa wako umekupelekea kujua wananchi wana changamoto kiasi gani nchi hii na ukichangia Kuna watu maelfunhqwana kipatomkwa siku, wiki na hata mwezi! Hiyo sukari ya Tsh 5000 au 6000 ni wangapi wanaimudu.Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?