Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Kawashika pabaya hadi mnakimbilia Jamii forum nenda kichwa kama Dotto Magari
 
Mwenezi hayuko kwenye Kampeni unatakiwa kujua lengo lake ni lipi.

Somo linalotakiwa kutuingia wananchi ni kwamba Kuna matatizo makubwa Katika kuandaa watumishi wote Katika nchi hii kwasababu Bomu limepasuka.

Miaka Yote tumekuwa tukiaandaa watumishi kwaajili ya kutumikia nchi hiki Sasa ndiyo kipimo sahihi wameshindwa kutatua matatizo rahisi kabisa migogoro imeongezeka.

CHANZO ni kuanzia Shuleni tulijiona ni washindi kuvujisha mitihani,tuliona ni Jambo jema kuongeza maarifa ya udanganyifu kwenye mitihani! Dhambi hiyo hiyo ikaendelea tukajiona wajanja kutoa ajira kiujanja tukaita Connection tukazalisha vyeo vya upendeleo Kwa kuangalia manufaa mapana ya kindugu na kirafiki.

Haya ndiyo mavuno yetu mpaka kizazi hiki kiishe au tuamue Leo kutumia udikteta maana Hawa wamegeuka Makupe kuwatoa ni ngumu lazima waache kichwa kwenye Ngozi.

Ukiisema MAHAKAMA peke yake bado utakuwa umeacha wafuasi kibao lakini angalia mfumo wao angalia maamuzi yao angalia tulivyo wapa umungu mtu lazima Mungu atawahukumu maana hiyo ndiyo kazi yao lakini jukumu la kuwapeleka Kwa Mungu huyu ili wahukumiwe Haraka ni la nani?
 
Hata alipokuwa mkuu wa mkoa hakuwa na plan yeyote
Akiamka asubuhi anaitisha press mambo kibao yanazungumzwa hapo
 
Jamaa anapambana sana anasikiliza kero za wananch jambo ambalo hata rais hafanyi anapita nyayo za magu mule mule
Tungekuwa na waandishi habari wenye akili au hata upinzani wenye akili
Wangekuwa wanachukua retails za baadhi ya watu wanaotajwa kutatuliwa kero zao na baada ya mda warudi kujua mambo yalipofikia hamna kitu Makonda anafanya
Kwasasa namfanisha Makonda na hawa wachungaji wa kisasa wa mchongo

Lakini anafanikiwa kwa kuwa kundi la wajinga ni kubwa sana nchi hii
 
Hakuna mtu wa kuhangaika na usanii.

Watu wameshaudharau
 

Mwenzako yuko busy akitafuta umaarufu wake binafsi.
 
Makonda AKA bashite Hana toauti na bamboo au kingwendu na mtanga ogopa kuuwa binadamu wenzio
 
Ila hakuna justice kabisa watu wengi wanalalamika kukandamizwa na police na wakubwa wa hii nchi inasikitisha sana
Mfumo mbovu nchi ishaoza
 
Kwani hata akiulizwa wanaojibu ni wataalamu sasa unasemaje haulizwi mambo ya umeme acha uzwazwa na upoyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…