Imeniuma: Alikiba aeleza kusikitishwa kwake

Imeniuma: Alikiba aeleza kusikitishwa kwake

Mkuu na wewe umembadilikia😨

Mkuu hawa wasanii wanaongoza kulalamika serikali haiwajali na kusema kua inawatumia nyakati za kampeni tu wakishapata wanachokitaka wanawapga chini .... Cha ajabu kampeni zikifika wao ndio Wa kwanza kuwapgia chapuo wale wale wanaowatupa baada ya kampeni , Mimi sipo upande wao Wa kipopoma wanakua kama wamekalia vijiti vikiwaingia wanalalamika vikitoka wanachka Cheka na kuvihitaji vijiti hivyo
 
Sema astaghafiru Abou Saydou!maisha tu haya
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kuwa kiba ni MLALAMISHI mnooo refer #wildaidCampaign.

Ana kitu inajulikana kama inferiority complex, yeye kujichakarisha hataki, alafu mashabiki wake mwenyewe ndio wamemchimbia kaburi kisani kwa kumponza na maneno kama king wetu sio mtu wa show off, hapendagi kujionesha, yupo simple, na yeye akaona ndio sifa, akazidi kujifungia chumbani kama kitanda, mara oooh!me hupenda kuwasuprise mashabiki, mpaka leo sijaskia chochote cha kushtua toka kwake, ndio kwanza analalamika mimi huwa nashangaa sana msanii anayetaka kuwa wa kiinternatiinal eti hapendi kujishow off, seriously?? Ajifungie ndani basi kama DVD kwenye deki kutoka kwake nje ni nyimbo zimeisha. Aone majibu yake, coka cola wenyewe soda zao ndio zinauzika zaidi ya pepsi,lakini coka cola hao hao ndio hawakauki kwenye media wakijitangaza, kwanini wasikunje nne wakarilax since wameshalikamata soko, coz they know the consequences za kubweteka. Sasa wewe kibakuli, wee endelea kujiita king bila matendo uone nini habari yake.
 
Mnamwaga povu bila kujua chanzo mnachanganya maada nyingi mkikua mtaacha
pwilo najua huwa unajitahidi sana kumsafisha kibakuli, lakini ndio kwanza anazidi kukuumbua mchana kweupee, ulisema kibakuli angalau ni tofauti na wasanii wengine kuwa japo anaisupport ccm lakini yeye akishapiga show hana zile shobo za kumpost mpost mgombea au mambo ya campeini, najua unamfollow insta, na umejionea kwa macho, jana tu katoka kulalamika kuwa anapotezewa, wadau wakamchambaaa weee na wengi walimuambia kujiingiza kwake kwenye siasa ndio kumemponza, umeona alichopost baada ya hapo?? Full ndimu sasa ndio uchague kuzilamba au kutafuta tindikali
 
Last edited by a moderator:
atanyooka tu na badooo!!!

Kila siku tukiwaambia mashabiki wanaofuatilia kazi zako ni mbadala kiasi fulani wa media, ukiwanao wa kutosha fb twitter na insta..

Diamond kwa mfano facebook anazaidi ya watu wanaomfuatilia laki nane kasoro wakati yeye hata laki moja hawafiki hahahahaa insta, twitter kote wa kuokoteza.. Ndio maana diamond akifanya kitu lazima kisambae fastaaa, kwasababu hata mtu akiweka kwenye blog yake inasomwa zaidi kuliko habari za wasanii wengine kitu kinachowaongezea mapato, sasa kwanini wajiangaishe na maunderground??

Diamond anatoa sana ushirikiano kwa wanahabari, CHUKUA MFANO MWEPESI, baada ya kiba kushinda tuzo za pombe akaenda kwenye daladala mitaani Dar es salaam... MWENZAKE ALIVYO KICHWA akaandaa press conference ya waandishi wa habari kwakuwa kupitia wao atamfikia kila shabiki wake, HAPO KIBA ANAWEZA AKAJIFUNZA KITU

Na kurusha jiwe gizani hivo ndio itazidi kumcost zaidi, mtu akijishtukia tu ataona ye ndio mlengwa na ndio chuki zinapoanzia... Diamond afanye lolote Global publishers ni kama page yake hatumii hata mia lakini kwakuwa tu anauzika NYOOOOOTA lazima umkute kilasikuuu!!!!!! japokuwa habari ni za uongo lakini ndio zinamfanya kuwa kama brand kubwa kama jinsi Kanye west, Justin bieber wanavyoisumbua marekani

diamond hana lolote ameshashuka sana kimuziki
 
Siasa imetuharibia sana upenzi wetu kwa wasaniii wetu. Upite uchaguzi tuanze moja
 
Ahaha Ukawa bwana!kwenye shoo za CCM akienda na uwanja ukafurika mnasema watu wamemfata Diamond!
Ikija ishu ya diamond kama diamond mnasema ameshuka!sasa kama ameshuka mbona anajaza mikutano ya CCM?!

Haters will always be haters
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya amani peace day one. amesema mashabiki wake kila kona ya dunia wamekuwa wakilalamikia suala hilo na imemuuma. "next time fanya kwa ajili ya tanzania sio kwa ajili ya alikiba. mimi ni binadamu naweza kosea bila kujua au kwa kujua pia. kwaiyo haipendezi kwa kweli kuna wapenzi wa kazi yangu wamelalamika sana kila kona ya dunia kuhusu kampeni ya peace one day kwanini hamkuna hilo!! imeniuma " . baadhi ya maneno ya alikiba kwenye ukurasa wake

huyu naye amezidi kulalama... aachane na music amechokwa sana.
 
Mkuu hawa wasanii wanaongoza kulalamika serikali haiwajali na kusema kua inawatumia nyakati za kampeni tu wakishapata wanachokitaka wanawapga chini .... Cha ajabu kampeni zikifika wao ndio Wa kwanza kuwapgia chapuo wale wale wanaowatupa baada ya kampeni , Mimi sipo upande wao Wa kipopoma wanakua kama wamekalia vijiti vikiwaingia wanalalamika vikitoka wanachka Cheka na kuvihitaji vijiti hivyo
Duh!! Umetumia lugha kalii, ila sio mbaya ukweli unatakiwa usemwe kama ulivyo na si kuuficha ficha. Wasanii wanatakiwa wabadilike wao kwanza ndio waombe serikali ibadilike na kuwathamini.
 
Siasa imetuharibia sana upenzi wetu kwa wasaniii wetu. Upite uchaguzi tuanze moja
Mimi binafi baada ya Dimond kupost upuuzi unao husu ukabila na tena kwa kupotosha nimempigia DAVIDO kura, Binafsi sijawahi kupiga kura ila imebidi nipige ili kumfundisha adabu next time awe na heshima.
 
Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung hivi huyu ndugu yenu analilia nini?

Eeeeh huyu kachekesha

Yaani ni baada Princess_Tiffah kuwakisha mitandao Jumapili ndio imemuuma.

Sasa sijui ni siku gani anaendaga hata kuwataarifu kuwa ana shughuli, alizani wanamfatilia maisha yake kumbe ndio ameona yeye hafatwi na paparazi kama Diamond na familia yake so kikamuuma sana sana hadi kuyaandika maneno haya.

Nimecheka mtoto wa zaidi ya mwezi amemkimbiza na kumuuma kwa kupata attention ya media.

Na yeye hafatilii ya wengine na hao mashabiki kuwapostia mao wa repost anadhani anasakwa

Ooh hadi media ya 40 ya mtoto imemuumiza kama vile hakuna mengine au siku zingine za kulalamika.

Haya na kaamua kuposti ya sisiemu sasa. Haogopi tena kama alivyofuta siku ileeeee
 
Last edited by a moderator:
atanyooka tu na badooo!!!

Kila siku tukiwaambia mashabiki wanaofuatilia kazi zako ni mbadala kiasi fulani wa media, ukiwanao wa kutosha fb twitter na insta..

Diamond kwa mfano facebook anazaidi ya watu wanaomfuatilia laki nane kasoro wakati yeye hata laki moja hawafiki hahahahaa insta, twitter kote wa kuokoteza.. Ndio maana diamond akifanya kitu lazima kisambae fastaaa, kwasababu hata mtu akiweka kwenye blog yake inasomwa zaidi kuliko habari za wasanii wengine kitu kinachowaongezea mapato, sasa kwanini wajiangaishe na maunderground??

Diamond anatoa sana ushirikiano kwa wanahabari, CHUKUA MFANO MWEPESI, baada ya kiba kushinda tuzo za pombe akaenda kwenye daladala mitaani Dar es salaam... MWENZAKE ALIVYO KICHWA akaandaa press conference ya waandishi wa habari kwakuwa kupitia wao atamfikia kila shabiki wake, HAPO KIBA ANAWEZA AKAJIFUNZA KITU

Na kurusha jiwe gizani hivo ndio itazidi kumcost zaidi, mtu akijishtukia tu ataona ye ndio mlengwa na ndio chuki zinapoanzia... Diamond afanye lolote Global publishers ni kama page yake hatumii hata mia lakini kwakuwa tu anauzika NYOOOOOTA lazima umkute kilasikuuu!!!!!! japokuwa habari ni za uongo lakini ndio zinamfanya kuwa kama brand kubwa kama jinsi Kanye west, Justin bieber wanavyoisumbua marekani
Umeongea point ila umechanganya na ushabiki #global hawaandiki bure newz kaa ukijua ndo hivyo
 
Ahaha Ukawa bwana!kwenye shoo za CCM akienda na uwanja ukafurika mnasema watu wamemfata Diamond!
Ikija ishu ya diamond kama diamond mnasema ameshuka!sasa kama ameshuka mbona anajaza mikutano ya CCM?!

Juzi diamond alipiga show bukoba kiiongilio buku tano hakuna alieenda,,watu wanasema wameshamuona kwenye mikutano ya ccm mpaka wamemchoka,,,baada ya uchaguzi fiamond ndio kushney
 
Juzi diamond alipiga show bukoba kiiongilio buku tano hakuna alieenda,,watu wanasema wameshamuona kwenye mikutano ya ccm mpaka wamemchoka,,,baada ya uchaguzi fiamond ndio kushney

Ahahahaaa!!hata hilo nalo jibu!sio lazima uwe na jibu sahihi,hata uwongo nalo jibu!ahahahaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom