Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wewe umembadilikia😨
Mkuu hawa wasanii wanaongoza kulalamika serikali haiwajali na kusema kua inawatumia nyakati za kampeni tu wakishapata wanachokitaka wanawapga chini .... Cha ajabu kampeni zikifika wao ndio Wa kwanza kuwapgia chapuo wale wale wanaowatupa baada ya kampeni , Mimi sipo upande wao Wa kipopoma wanakua kama wamekalia vijiti vikiwaingia wanalalamika vikitoka wanachka Cheka na kuvihitaji vijiti hivyo
Ukweli ni kuwa kiba ni MLALAMISHI mnooo refer #wildaidCampaign.
pwilo najua huwa unajitahidi sana kumsafisha kibakuli, lakini ndio kwanza anazidi kukuumbua mchana kweupee, ulisema kibakuli angalau ni tofauti na wasanii wengine kuwa japo anaisupport ccm lakini yeye akishapiga show hana zile shobo za kumpost mpost mgombea au mambo ya campeini, najua unamfollow insta, na umejionea kwa macho, jana tu katoka kulalamika kuwa anapotezewa, wadau wakamchambaaa weee na wengi walimuambia kujiingiza kwake kwenye siasa ndio kumemponza, umeona alichopost baada ya hapo?? Full ndimu sasa ndio uchague kuzilamba au kutafuta tindikaliMnamwaga povu bila kujua chanzo mnachanganya maada nyingi mkikua mtaacha
atanyooka tu na badooo!!!
Kila siku tukiwaambia mashabiki wanaofuatilia kazi zako ni mbadala kiasi fulani wa media, ukiwanao wa kutosha fb twitter na insta..
Diamond kwa mfano facebook anazaidi ya watu wanaomfuatilia laki nane kasoro wakati yeye hata laki moja hawafiki hahahahaa insta, twitter kote wa kuokoteza.. Ndio maana diamond akifanya kitu lazima kisambae fastaaa, kwasababu hata mtu akiweka kwenye blog yake inasomwa zaidi kuliko habari za wasanii wengine kitu kinachowaongezea mapato, sasa kwanini wajiangaishe na maunderground??
Diamond anatoa sana ushirikiano kwa wanahabari, CHUKUA MFANO MWEPESI, baada ya kiba kushinda tuzo za pombe akaenda kwenye daladala mitaani Dar es salaam... MWENZAKE ALIVYO KICHWA akaandaa press conference ya waandishi wa habari kwakuwa kupitia wao atamfikia kila shabiki wake, HAPO KIBA ANAWEZA AKAJIFUNZA KITU
Na kurusha jiwe gizani hivo ndio itazidi kumcost zaidi, mtu akijishtukia tu ataona ye ndio mlengwa na ndio chuki zinapoanzia... Diamond afanye lolote Global publishers ni kama page yake hatumii hata mia lakini kwakuwa tu anauzika NYOOOOOTA lazima umkute kilasikuuu!!!!!! japokuwa habari ni za uongo lakini ndio zinamfanya kuwa kama brand kubwa kama jinsi Kanye west, Justin bieber wanavyoisumbua marekani
diamond hana lolote ameshashuka sana kimuziki
Ahaha Ukawa bwana!kwenye shoo za CCM akienda na uwanja ukafurika mnasema watu wamemfata Diamond!
Ikija ishu ya diamond kama diamond mnasema ameshuka!sasa kama ameshuka mbona anajaza mikutano ya CCM?!
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya amani peace day one. amesema mashabiki wake kila kona ya dunia wamekuwa wakilalamikia suala hilo na imemuuma. "next time fanya kwa ajili ya tanzania sio kwa ajili ya alikiba. mimi ni binadamu naweza kosea bila kujua au kwa kujua pia. kwaiyo haipendezi kwa kweli kuna wapenzi wa kazi yangu wamelalamika sana kila kona ya dunia kuhusu kampeni ya peace one day kwanini hamkuna hilo!! imeniuma " . baadhi ya maneno ya alikiba kwenye ukurasa wake
Duh!! Umetumia lugha kalii, ila sio mbaya ukweli unatakiwa usemwe kama ulivyo na si kuuficha ficha. Wasanii wanatakiwa wabadilike wao kwanza ndio waombe serikali ibadilike na kuwathamini.Mkuu hawa wasanii wanaongoza kulalamika serikali haiwajali na kusema kua inawatumia nyakati za kampeni tu wakishapata wanachokitaka wanawapga chini .... Cha ajabu kampeni zikifika wao ndio Wa kwanza kuwapgia chapuo wale wale wanaowatupa baada ya kampeni , Mimi sipo upande wao Wa kipopoma wanakua kama wamekalia vijiti vikiwaingia wanalalamika vikitoka wanachka Cheka na kuvihitaji vijiti hivyo
Mimi binafi baada ya Dimond kupost upuuzi unao husu ukabila na tena kwa kupotosha nimempigia DAVIDO kura, Binafsi sijawahi kupiga kura ila imebidi nipige ili kumfundisha adabu next time awe na heshima.Siasa imetuharibia sana upenzi wetu kwa wasaniii wetu. Upite uchaguzi tuanze moja
Sema astaghafiru Abou Saydou!maisha tu haya
Umeongea point ila umechanganya na ushabiki #global hawaandiki bure newz kaa ukijua ndo hivyoatanyooka tu na badooo!!!
Kila siku tukiwaambia mashabiki wanaofuatilia kazi zako ni mbadala kiasi fulani wa media, ukiwanao wa kutosha fb twitter na insta..
Diamond kwa mfano facebook anazaidi ya watu wanaomfuatilia laki nane kasoro wakati yeye hata laki moja hawafiki hahahahaa insta, twitter kote wa kuokoteza.. Ndio maana diamond akifanya kitu lazima kisambae fastaaa, kwasababu hata mtu akiweka kwenye blog yake inasomwa zaidi kuliko habari za wasanii wengine kitu kinachowaongezea mapato, sasa kwanini wajiangaishe na maunderground??
Diamond anatoa sana ushirikiano kwa wanahabari, CHUKUA MFANO MWEPESI, baada ya kiba kushinda tuzo za pombe akaenda kwenye daladala mitaani Dar es salaam... MWENZAKE ALIVYO KICHWA akaandaa press conference ya waandishi wa habari kwakuwa kupitia wao atamfikia kila shabiki wake, HAPO KIBA ANAWEZA AKAJIFUNZA KITU
Na kurusha jiwe gizani hivo ndio itazidi kumcost zaidi, mtu akijishtukia tu ataona ye ndio mlengwa na ndio chuki zinapoanzia... Diamond afanye lolote Global publishers ni kama page yake hatumii hata mia lakini kwakuwa tu anauzika NYOOOOOTA lazima umkute kilasikuuu!!!!!! japokuwa habari ni za uongo lakini ndio zinamfanya kuwa kama brand kubwa kama jinsi Kanye west, Justin bieber wanavyoisumbua marekani
Sio vizuri madam. Hadi wewe jamani
Ahaha Ukawa bwana!kwenye shoo za CCM akienda na uwanja ukafurika mnasema watu wamemfata Diamond!
Ikija ishu ya diamond kama diamond mnasema ameshuka!sasa kama ameshuka mbona anajaza mikutano ya CCM?!
Juzi diamond alipiga show bukoba kiiongilio buku tano hakuna alieenda,,watu wanasema wameshamuona kwenye mikutano ya ccm mpaka wamemchoka,,,baada ya uchaguzi fiamond ndio kushney
Ukweli ni kuwa kiba ni MLALAMISHI mnooo refer #wildaidCampaign.