shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyetoDogo tulia basi kwanza mbona umepagawa kiasi hicho?
Au uligonga kavu unatudanganya hapa ulivaa kinga ukiogopa tutakupopoa?maana kama kweli ulivaa kinga siioni haja ya kuweweseka.
Mbinu zipi tenaPole Sana Ila usiwe na hofu Sana mbinu ambayo uneitumia mwishoni ulibidi uitumie mwanzoni.
Wewe kaswaki vizuri usugue huo ulimi halafu uje niuone kwanza.Unakuaje
So ninao auS
shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyeto
Ndo nn mkuuKasongo yeyeee mubali na ngai
Kwasababu ndo jibu unalotaka kusikiaKwa nn unasema ivyo
Dah! Kwa kuangalia hiyo picha kama ulivyotaka, isee ni wenyewe baharia. Hata usijushughulishe kwenda kupima. Hatimaye umekipata ulichokuwa unakitafuta kwa muda mrefu.Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
View attachment 3181547
So apo ninao auS
shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyeto
Labda kuna point nai-miss hapa, nieleweshe hiyo mikono unayosema uliifuta ni mikono gani na kwanini ukaenda kupiga punyeto au hukuridhika?S
shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyeto
Sikuridhika ndio so ndo nikajipa kirusi au ni mm tu na mawazo yanguLabda kuna point nai-miss hapa, nieleweshe hiyo mikono unayosema uliifuta ni mikono gani na kwanini ukaenda kupiga punyeto au hukuridhika?
Swali hasa!kwanini ufute mikono kwa taulo na kwanini ukapige punyeto?
Sugua ulimi wakati unaswaki hiyo white colour ni uchafu mkuu, by the way kapime ujiridhishe.Ila naona Hadi tongue imekuwa white ata sielewi
Siwezi kusema ni maambukizi ya ukimwiSo unaweza ikawa sio aids
Uko sehemu gani nikupime tujue Kama unao au hauna ?Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
View attachment 3181547
Kwani unaweza kuwa stress tu auAnza kula vizuri,fanya mazoezi pia upumzishe mwilii wako..
Bei za vipimo pharmacy shingapi kwaniUko sehemu gani nikupime tujue Kama unao au hauna ?
huenda una dalili tu zinazofanana na zile za muathirika wa ukimwi,Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
View attachment 3181547