Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

S
Dogo tulia basi kwanza mbona umepagawa kiasi hicho?

Au uligonga kavu unatudanganya hapa ulivaa kinga ukiogopa tutakupopoa?maana kama kweli ulivaa kinga siioni haja ya kuweweseka.
shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyeto
 
Mkuu huyo binti umemuuliza afya yake au unaijua afya yake?
Na kwanini una ji risk sana bila kujua afya ya mtu
 
S

shida badaa ya apo niliifuta mikono na towel tu alafu nikapiga punyeto
Labda kuna point nai-miss hapa, nieleweshe hiyo mikono unayosema uliifuta ni mikono gani na kwanini ukaenda kupiga punyeto au hukuridhika?

Swali hasa!kwanini ufute mikono kwa taulo na kwanini ukapige punyeto?
 
Sikuridhika ndio so ndo nikajipa kirusi au ni mm tu na mawazo yangu
 
So unaweza ikawa sio aids
Siwezi kusema ni maambukizi ya ukimwi

Ila fika hospital.......

Zingatia afya yako...... Epuka kunyonya uchi wa mtu ....... Hata romance ikiwa huna uhakika wa mtu huyo.....

zaidi fika kituo Cha afya ukimwi haupimwi kwa macho,

Good luck
 
Back
Top Bottom