Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Toa shukrani sasa kwa mara ya kwanza umelijua hilo leo 😅😅😅
Nani kakwambia eti sijui kuhusu A

AdSense it's part of digital marketing, wenzako wanashabikia eti Tanzania mna YouTube views nyingi na subscribers eti hio ndo e-commerce.😂😂

Tembea Kenya ujue e commerce na freelancing.

Most likely wakenya ndo wanafanya SEO kwa ads mnazo zipata kwenye internet yenu huko Bongo.
 
Uvivu na ulemavu wa akili ndio umewafikisha hapo[emoji23][emoji23]
Nyumbu fc mpo, sai kule youtube wanasubiria fala flani aalikwe waanze kurundika content lkn kw sasa weupe wamerudi kw habari za umbea[emoji23][emoji23]
Usitupangie maisha, watanzania tuna vipaumbele vyetu na lifestyle yetu, sasa usiforce tufanane
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila we jamaa bana
Nn sasa! Mi sio kila ngoma za kenya, east africa na afrika kw ujumula naziangalia..

Labda youtube wa recommend tu, yani niache kuangalia documentarie niende nikaangalie upupu.

Ila km jamaa katoa goma kali na kueleweka naangalia tena bmhta bila ya kupepesa.

Mpe hi mwangu jux, na marioo
 
Nani kakwambia eti sijui kuhusu AAdSense. It's part of digital marketing, wenzako wanashabikia eti Tanzania mna YouTube views nyingi na subscribers eti hio ndo e-commerce.😂😂
Mzee tuna our own catalog ya e commerce, nenda kwenye social media zote utakuta Watanzania wameweka matangazo yao ya bidhaa na huduma kedekede, kwanza hiyo ndio nzuri sababu inachochea biashara za ndani ya nchi
 
Nn sasa!!mi sio kila ngoma za kenya, east africa na afrika kw ujumula naziangalia..

Labda youtube wa recommend tu, yani niache kuangalia documentarie niende nikaangalie upupu.

Ila km jamaa katoa goma kali na kueleweka naangalia tena bmhta bila ya kupepesa..
Mpe hi mwangu jux, na marioo
😊

Screenshot_20200727-151757~2.png
 
Usitupangie maisha, watanzania tuna vipaumbele vyetu na lifestyle yetu, sasa usiforce tufanane
Kwhyo sisi kufanana na nyie sawa lkn likija upande wa kwenu tusiwafosi sio[emoji23][emoji23]
 
Mzee tuna our own catalog ya e commerce, nenda kwenye social media zote utakuta watanzania wameweka matangazo yao ya bidhaa na huduma kedekede, kwanza hiyo ndio nzuri sababu inachochea biashara za ndani ya nchi
Kuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.
 
Bwahaha!!hawataki kusema ukwel, ila nyie maskini
Kenye hawajui ni hata Somalia and Syria has one of the cheapest internet In the world but that doesn't mean they transact more business online than let's say Australia or even Kenya.
 
"Brighter Monday Tanzania
chief executive officer Reshma Bharmal-Shariff said the organization
decided to take an exit due to the
current economic environment and the
impact it has caused on many
businesses". Nahitaji kufafanuliwa zaidi kuhusu haya mazingira mabovu ya kiuchumi waliotaja Brighter Monday, ambayo ndio yamesababisha waondoke Tz. Tatizo ni nini haswa? Maanake kama ni nchi nyingine yeyote duniani ningesema kwamba ni changamoto na athari za janga la COVID-19.
Kwa kipindi hichi cha corona biashara za mitandaoni ndio zilikuwa zinakimbiza hatari!

Kikubwa changamoto kubwa inaowakabili hao jamaa ni purchase power ya watanzania kuwa ni ndogo sana, ukizingatia na sera mbovu za serikali ndyo kbsa kutoboa inakuwa ngumu sana.
 
AdSense ni kitu ya kawaida bana...hata vijana walio kwenye University ni ma expert kwa hio sector cheki profile zao pale upwork.
Kwani unadhani AdSense Ni ya YouTube pekee yake.[emoji23][emoji23]
Nani amesema kuwa adsense ni kwenye youtube tu?

Mbona una tabia chafu ya kuniwekea maneno ambayo sijayasema?

Ngoja nikufunze kidogo,

Adsense zipo za youtube (hizi zilijulikana miaka iliyopita kama hosted account)

Adsense zipo za kwa ajili ya mobile apps (hizi hujulikana kama admob)

Adsense zipo za kwa ajili ya blogs na website.
 
Nani kakwambia eti sijui kuhusu AAdSense..... it's part of digital marketing ...wenzako wanashabikia eti Tanzania mna YouTube views nyingi na subscribers eti hio ndo e-commerce.[emoji23][emoji23]
Tembea Kenya ujue e commerce na freelancing.
Most likely wakenya ndo wanafanya SEO .......kwa ads mnazo zipata kwenye internet yenu huko bongo.
Yaani hivo vitu vyote umeandika hapo Watanzania wanazifanya na hawapigi kelele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.
Aliyekuambia ni nani kuwa ni kitu rahisi!

Hivi unadhani unaweka tu tangazo ili mradi!

Wewe ndio wale mnaolipia matangazo kwenye social networks halafu mnalalamikia mbona hampati wateja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.
Sio kama unavyofikiria

 
Back
Top Bottom