Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
2013 hii, just imagine saivi itakua vipi 😅😅😅Hata waingereza pia wakifika south africa wanashangazwa na na urahisi wa vitu vingi mbali mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2013 hii, just imagine saivi itakua vipi 😅😅😅Hata waingereza pia wakifika south africa wanashangazwa na na urahisi wa vitu vingi mbali mbali
Nani kakwambia eti sijui kuhusu AToa shukrani sasa kwa mara ya kwanza umelijua hilo leo 😅😅😅
Usitupangie maisha, watanzania tuna vipaumbele vyetu na lifestyle yetu, sasa usiforce tufananeUvivu na ulemavu wa akili ndio umewafikisha hapo[emoji23][emoji23]
Nyumbu fc mpo, sai kule youtube wanasubiria fala flani aalikwe waanze kurundika content lkn kw sasa weupe wamerudi kw habari za umbea[emoji23][emoji23]
Nn sasa! Mi sio kila ngoma za kenya, east africa na afrika kw ujumula naziangalia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila we jamaa bana
Mzee tuna our own catalog ya e commerce, nenda kwenye social media zote utakuta Watanzania wameweka matangazo yao ya bidhaa na huduma kedekede, kwanza hiyo ndio nzuri sababu inachochea biashara za ndani ya nchiNani kakwambia eti sijui kuhusu AAdSense. It's part of digital marketing, wenzako wanashabikia eti Tanzania mna YouTube views nyingi na subscribers eti hio ndo e-commerce.😂😂
😊Nn sasa!!mi sio kila ngoma za kenya, east africa na afrika kw ujumula naziangalia..
Labda youtube wa recommend tu, yani niache kuangalia documentarie niende nikaangalie upupu.
Ila km jamaa katoa goma kali na kueleweka naangalia tena bmhta bila ya kupepesa..
Mpe hi mwangu jux, na marioo
Kwhyo sisi kufanana na nyie sawa lkn likija upande wa kwenu tusiwafosi sio[emoji23][emoji23]Usitupangie maisha, watanzania tuna vipaumbele vyetu na lifestyle yetu, sasa usiforce tufanane
Robert alai[emoji23][emoji23]
Bwahaha!!hawataki kusema ukwel, ila nyie maskini2013 hii, just imagine saivi itakua vipi [emoji28][emoji28][emoji28]
Kuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.Mzee tuna our own catalog ya e commerce, nenda kwenye social media zote utakuta watanzania wameweka matangazo yao ya bidhaa na huduma kedekede, kwanza hiyo ndio nzuri sababu inachochea biashara za ndani ya nchi
Kenye hawajui ni hata Somalia and Syria has one of the cheapest internet In the world but that doesn't mean they transact more business online than let's say Australia or even Kenya.Bwahaha!!hawataki kusema ukwel, ila nyie maskini
Kwa kipindi hichi cha corona biashara za mitandaoni ndio zilikuwa zinakimbiza hatari!"Brighter Monday Tanzania
chief executive officer Reshma Bharmal-Shariff said the organization
decided to take an exit due to the
current economic environment and the
impact it has caused on many
businesses". Nahitaji kufafanuliwa zaidi kuhusu haya mazingira mabovu ya kiuchumi waliotaja Brighter Monday, ambayo ndio yamesababisha waondoke Tz. Tatizo ni nini haswa? Maanake kama ni nchi nyingine yeyote duniani ningesema kwamba ni changamoto na athari za janga la COVID-19.
Nani amesema kuwa adsense ni kwenye youtube tu?AdSense ni kitu ya kawaida bana...hata vijana walio kwenye University ni ma expert kwa hio sector cheki profile zao pale upwork.
Kwani unadhani AdSense Ni ya YouTube pekee yake.[emoji23][emoji23]
Sasa ni kiherehere gani ilikufanya udhani kuwa Watanzania hawaifahamu hiyo adsense?AdSense ni kitu ya kawaida bana...hata vijana walio kwenye University ni ma expert kwa hio sector cheki profile zao pale upwork.View attachment 1648991
Yaani hivo vitu vyote umeandika hapo Watanzania wanazifanya na hawapigi kelele [emoji23][emoji23][emoji23]Nani kakwambia eti sijui kuhusu AAdSense..... it's part of digital marketing ...wenzako wanashabikia eti Tanzania mna YouTube views nyingi na subscribers eti hio ndo e-commerce.[emoji23][emoji23]
Tembea Kenya ujue e commerce na freelancing.
Most likely wakenya ndo wanafanya SEO .......kwa ads mnazo zipata kwenye internet yenu huko bongo.
Aliyekuambia ni nani kuwa ni kitu rahisi!Kuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.
Sio kama unavyofikiriaKuweka matangazo ya kibiashara kwenye social media kitu rahisi everyone can do it sijui nini unaona ya maana hapo.
2013 hiyo, kama ni running water, 80% tu ya Nairobi haina hata walking water achilia mbali running 😅😅Bwahaha!!hawataki kusema ukwel, ila nyie maskini
Nikileta ya Tanzania mtasema ni CCMRobert alai[emoji23][emoji23]