Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
😅😅😅 Sijui nimepatia au niongeze sauti?Hahaa! [emoji1] Kijana wa chipsi, usiwe na presha kipendacho moyo ni dawa. Hebu type hilo neno nyama choma kwenye search engine yako uone kama halitaambatana na jina Kenya, Safari, Simba, Hakuna Matata. 😎