Niliwasikia watu wawili wakihadithiana hapa Dar, mmoja akisema ana mdogo wake anahema sana kwa short breathe (Utadhani Samaki aliye nje ya maji) akawa na wasiwasi kuwa huenda ile ni Corona.
Mimi katika kutumia common sense nikahisi something must be wrong!.
JAMANI KUNA PROBABILITY KUBWA CORONA IKO MITAANI DAR
Na kitendo cha hii Serikali kuchukua hatua nusu nusu kama vile kuchelewa kufunga mipaka tutakufa wengi, hali itakuwa mbaya
Ishu ya mtoto wa Mbowe ambaye anasema hakusafiri nje ya nchi mwaka huu mzima inamaanisha kuwa kaupata humuhumu nchini kwa hiyo maambukizi ya ndani ya nchi yameshaanza. Ni hatari sana ndugu zangu.
Tutakufa kama kuku!
Familia ya mtoto hawajawahi kutoka nje?Niliwasikia watu wawili wakihadithiana hapa Dar, mmoja akisema ana mdogo wake anahema sana kwa short breathe (Utadhani Samaki aliye nje ya maji) akawa na wasiwasi kuwa huenda ile ni Corona.
Mimi katika kutumia common sense nikahisi something must be wrong!.
JAMANI KUNA PROBABILITY KUBWA CORONA IKO MITAANI DAR
Na kitendo cha hii Serikali kuchukua hatua nusu nusu kama vile kuchelewa kufunga mipaka tutakufa wengi, hali itakuwa mbaya
Ishu ya mtoto wa Mbowe ambaye anasema hakusafiri nje ya nchi mwaka huu mzima inamaanisha kuwa kaupata humuhumu nchini kwa hiyo maambukizi ya ndani ya nchi yameshaanza. Ni hatari sana ndugu zangu.
Tutakufa kama kuku!
kwani covid 19 ni mafua?
Kama umefuatilia shuhuda za wahanga,
Naungana na mkurugenzi wa WHO na waziri wa afya Burundi kuwa "maambukizi Afrika yako chini kwa sababu watu hawapimwi" na ikiwa hawapimwi hata ikitokea wakaugua wakafa wanakuwa treated as other cases.
Return Of Undertaker,
Bila lockdown haponi mtu.
serikali inasubiri nini kuzuia watu wasitoke ktk miji iliyo athirika kama dsm ili kuzuia maambukizi zaidi?
maana tayari maambukizi yanaenea sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kupuliza dawa siyo solutionHatarioz....iko Dar na takwimu zao za maambukizi zinatia shaka. Halafu mtoto wa baba, anapiga kampeni danganyifu..
badala ya kuhimiza kujikinga na nini cha kufanya endapo utahisi una maambukizi. Eti atapuliza dawa, anafikiri hii ni malaria, dengue au kipindupindu?
Everyday is Saturday 😎
Inazuiaje watu kutoka Dar es Salaamserikali inasubiri nini kuzuia watu wasitoke ktk miji iliyo athirika kama dsm ili kuzuia maambukizi zaidi?
maana tayari maambukizi yanaenea sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa kwa hiyo ulivyoona wanapuliza dawa ukaona bora nawe uje kututangazia mtafanya hayo??Kwa hiyo kupuliza dawa siyo solution
Niliona hata China, Dubai wanapuliza mtaani