Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

achani uwoga wa kijinga huko marekani kila mwaka zaidi ya watu 30000 hufa kwa mafua natekinologia ipo mbona huwa hamuogopi leo kisa vitisho vya mainstream media mje mtutishe hapa bongo kama huo ugojwa upo bongo basi hauna madhara mana ugojwa hatari unapo kuwepo mahali hauwezi kufichika ukiona ugojwa unafichika jua hauna madhara mbona nchi nyingi tu africa hazina mambukizi mengi japo zina tekinologia duni jiulize hapo kwanza

Sent from my CPH1903 using JamiiForums mobile app
 
tatizo watu hawataki kujiuliza hao wazungu wanao waiga kuogopa hayo mafua yao wanajiuliza kwa nn africa haya sambai kwa watu weusi? mfano ni naigeria pale corona imedunda live imefika toka february na mpaka leo haijaua mtu hata mmoja hapa tz wagojwa wote wamepona na hamna hata mmoja alie kuwa serious wagojwa walikuwa na afyanjema kabisa hawakuteteleka mimi namini ninacho kiona kuliko vitisho vya kurudiarudia vya mainstream media ambavyo vimegeuka kuwa imani

Sent from my CPH1903 using JamiiForums mobile app
 
Tumuombe tu Mungu azidi kutuhurumia,

Lakini tusibweteke na kujiona wajanja, alafu sio kuwa sisi Ni wazuri zaidi ya wazungu wanaopukutika kwa Corona hivi sasa. Ni Mungu tu amezidi kutuhurumia, matatizo yetu tulokuwa nayo yanatutosha but not guaranteed!

#kazi ziendelee, wanafunzi warejee masomoni huku Elimu za kujikinga zikizidi kufuatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…