Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo.

Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the name of school fees.

( Nilikuwaga fala Mie.. Nizomeeni Kwa ufala nilio kuwaga nao)

Wewe unaesoma thread hii nakutamkia, siku moja mama ako mzazi atakuomba elfu Kumi ila wewe utamtumia Milioni Kumi.

Sema " NAPOKEA".

Breaking News: Meseji ya Bimkubwa hii hapa👇👇👇👇👇

Baba nashukuru Sana Mungu akubariki wewe na watoto wako. Ulipo toa Mungu akuzidishe mara millioni.

Me : Ameen 🙏🙏
Bila shaka ni mahari ya yule Binti Yako mwenye miaka 9
 
Muhimu ni kutafuta hela mpaka uone kusomesha watoto wako shule ya milioni 3 au 2 kwa mwaka na ukamtumia mama yako milioni 1 sio mzigo kwenye maisha....

Tujikite na kutafuta hela zaidi.
 
Siwezi Lipia mtaala wa NECTA never
 
Back
Top Bottom