Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

watajuana wenyewe. mambo yenyewe yako shagalabagala duniani tunapita samba mapangala
 
So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .

Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?

Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine
Haya yooote yanayosemwa juu ya Kikwete na Lowassa yasingesemwa iwapo Kikwete angetuongoza kupata katiba mpya yenye kuwapa wananchi uhuru wa kuchagua viongozi wake pasi na kutegemea nguvu ya dola ambayo inamilikiwa na rais. Hata Lowassa mwenyewe, pengine angepigania tuwe na katiba nzuri, asingekosa urais 2015. Tumepata fundisho gani? Hizi ni lawama za kujitakia, wacha watu wamkaange!
 
Binafsi naungana na mtoa hoja.. kuna maamuzi huwezi fanya mwenyewe hata kwenye level za familia, au kazini lazima kuna committee/Management ikae ifanye maamuzi ndipo muendelee na jambo fulani.
Sasa jaribu kuwaza suala la maamuzi nani awe Rais wa Nchi halafu leo uje ulaumu mtu mmoja.
 
Akiwa hai hakukwenda kumjulia hali....
Akiwa hai hakumsifia kwa mema....
Alipokufa akakimbilia kumzika...
Alipokufa akakimbilia kumsifia...

JK kama sio mchawi atakuwa nani?
Asante Sana asp

Mm niishie hapa mleta mada Ni jk mwenywe mtupu
 
Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
Jmn huyu Masai aliniuma Sana kukatwa jina lake mm Niko namtumbo ila wilayanzima ilikuwa inamkubali lowasa as if alipata kuwa kijana wao

Ona sasa walio ingia badala yake
 
Tulitaka JK ama aombe radhi kwa ubaya wote aliomtendea marehemu au akae kimya, kuliko kujivika unafiki wa kishirikina kutoka huko msoga ndani ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ubaya na alimteua kuwa Waziri Mkuu?? Kikwete kambi yake yote aliipa nafasi.
 
Akiwa hai hakukwenda kumjulia hali....
Akiwa hai hakumsifia kwa mema....
Alipokufa akakimbilia kumzika...
Alipokufa akakimbilia kumsifia...

JK kama sio mchawi atakuwa nani?
JK alimteua LOWASSA kuwa Waziri Mkuu kipindi Lowassa ameshafariki si ndio????
 
Jinga kabisa wewe kama unataka uaminike kwa huu uharo wako uliharisha hapa ni kwa nn huyo jk alilikata jina edo kwenda kwenye kamati kuu ili ijulikane ni kweli alikuwa hatakiwi.

Jk anasababu za kulaumiwa kwa kupindisha mchakato wa kimaamuzi kwa kukata jina la lowasa kwakuwa alijua atachaguliwa tu kwa vyovyote vile.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Very beautiful philosophical reflection! I salute and concur with you Megalodon!
 
Kundi liliitwa boyz 2 men, sio wale waimbaji wa rnb wa marekani bali ni kundi la marafiki wawili wakubwa wa kisiasa nchini. Walienda vizuri tu katika siasa zao wakisaidiana kukamata madaraka yenye hadhi na utukufu wa nchi. Mbeleni mmoja wao akamsaliti na kumtosa mwenzake afilie mbali kisiasa. Sasa kwa mukhtadha huo unategemea watu waseme nini juu ya kadhia ya usaliti kwa mwenzake? Acha asemwe mpaka ajutie dhambi ya usaliti. Usaliti haujawahi kumpa mtu raha maishani
 

Uko sahihi, japo Mimi na hao wanaccm na ccm yao ni Maji na mafuta.
 

Nyie ndio mliwaita sio wao kujiita

Leta data JK anajiita boys 2 men kwa Edo
Weka hapa

Mliwaita byie kwa fantasy zenu

Msilazimishe vitu havipo
 

Sio JK ama Lowassa, hao wote hawakustahili kuwa Marais wa nchi hii. Ni wahuni wawili waliofarakana kwa sababu ya maslahi ya kimadaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…