Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Richard Quest yuko Davos Uswiss kwa sasa akihudhuria vikao vya World Economic forum; yuko fully equipped pale Davos ni kiasi cha kumuarifu apitie jirani hapo Ubelgiji Louven akafanye interview yake na TL, mahojianio hayo sio lazima yafanyike washington Marekani.
Kuna mmoja wa CCN anaitwa wolf na yule mama
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mimi naona wewe ndo unataka kulazimisha tuamini unachokiamini . Sio kificho wala sio siri clips zote alizoongea Lissu zipo mitandaoni na hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima na busara zake anayekubaliana na porojo anazoongea . Sasa kwa suala la kwenda CCN na Al Jazeera ni kwenda kujizika kisiasa maana hakuna atakachoongea zaidi ya kudhihakiwa na hao wanamhoji .
Akichemka si ndio poa kwa mafisiem??Giza likiongezeka ujue kunapambazuka...
 
FB_IMG_1548284263421.jpg
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
hahahahahahahahaha balaaaa kubwa sana
 
Waumia nini sasa wewe. Ngoja aende Tuendelee kumuona mpendwa WA Wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa labda na wewe ni mmoja wa wapendwa wa wengi huko Ulaya . Mpendwa wako Lissu ameongea wazi wazi kuwa yeye ni Pro - Ushoga . Ila sisi Watanzania tuliolelewa katika malezi tukuka hatuwezi kukubali Watanzania wachahe waliojiunga katika kikundi kiitwacho CHADEMA kutuletea tabia mbaya za kishoga katika ardhi yetu . Mwongelee huko huko BBC ,CNN na Al Jazeera wanako entertain tabia zenu za kishoga
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]

Lisu alisema hapati chochote kutoka bungeni do you think anajari kuhusu ubunge wake kwa Sasa?
 
Wanaopinga ni watu ambao wameanza kuangalia hizi channel baada ya Lissu kuhojiwa mkuu. Kuna mtu sababu nilipingana naye kimtazamo juu ya ile interview na Stephen Sackur aliniambia sijaelewa sababu sijakaa na wazungu. Nikamwambia nimefundishwa nao na nimefanya nao kazi kwa miaka 15 kampuni ya wazungu wa kidenish kiswedish na kiingereza. Watu hapa walizoea kuangalia BBC dira ya dunia peke yake sababu ipo na watangazaji weusi na watanzania. hii Hardtalk kwao ni jambo jipya kwanza inarushwa wao wakiwa usingizini juzi waliisubiria kama mapambano ya ngumi ya Tyson. Kuna anchor wengi ambao baadhi ya ndugu zetu humu JF hata hawawajui wa vipindi vingine na wapo BBC.

BBC kulikua na kigogo kinaitwa Jeremy paxman, ni tough interview amedharirisha viongozi wengi sana maana hoji yake ipo aggressive mpaka una lose mind. Hata huyo Stephen Sucker hamfikii aliyemrithi hicho kipindi Tim Sebastian naye alikua aggressive interviewer alimchanganya Mkapa mpaka akatukana. Kama Lissu angekutana na hii miamba Tim Sebastian ama Jeremy Paxman asingetoka salama.
 
Tumpeleke JPM tuone itakuwaje!
 
Tumpeleke JPM tuone itakuwaje!
Hata yeye ni Mbongo asiye na expossure yupo kama kina Lissu na yeye atapigika. Mkapa alipona sababu ni mzoefu wa kimataifa kishaonana na hao waandishi. Mtu kama Mahiga anaweza kwasababu ni mzoefu. Wengi waliobaki wamezoea waandishi wa habariwa dizaini ya kina Kubenea watapata taabu sana mfano tumeuona juzi.

Halafu uzuri wa Magufuli labda anaweza kumshinda Lissu sababu ataongea kutumia Lugha yake ya Kiswahili kwasababu si lazima kutumia kiingereza pale.
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Mapokezi hasi? are serious? Yangekuwa hasi unafikiri hata viongozi wa dini wangeitwa Ikulu jana? Una akili ndogo sana.....
 
Hata yeye ni Mbongo asiye na expossure yupo kama kina Lissu na yeye atapigika. Mkapa alipona sababu ni mzoefu wa kimataifa kishaonana na hao waandishi. Mtu kama Mahiga anaweza kwasababu ni mzoefu. Wengi waliobaki wamezoea waandishi wa habariwa dizaini ya kina Kubenea watapata taabu sana mfano tumeuona juzi.

Halafu uzuri wa Magufuli labda anaweza kumshinda Lissu sababu ataongea kutumia Lugha yake ya Kiswahili kwasababu si lazima kutumia kiingereza pale.
Kwani hajui kimombo mpaka atumie kibongo?Phd holder kabisa
 
\wewe kwa akili yako unadhani Putin ama rais wa China ama kiongozi wa Ujerumani ama Mahmoud Ahmadinejad hawajui kiingereza? Huo ujinga uliwajaa kichwani wa kudhani kuzungumza kiingereza ni kuelimika utaisha lini? Mnajiabisha sana.

Mrs Merkel akiongea kiingereza

Mrs Merkel Interview

\wewe kwa akili yako unadhani Putin ama rais wa China ama kiongozi wa Ujerumani ama Mahmoud Ahmadinejad hawajui kiingereza? Huo ujinga uliwajaa kichwani wa kudhani kuzungumza kiingereza ni kuelimika utaisha lini? Mnajiabisha sana.
Nani alisema kujua kiingereza ndio kuelimika?Shida ni kuwa mtu kajifunza kiingereza kwa miaka zaidi ya miaka 15 halafu haimudu lugha hiyo!
 
kwanini umeweka Phd na yeye kuongea kiingereza vina uhusiano gani. Mimi nilisema atatumia Lugha yake hivyo itakua rahisi wewe umeingiza elimu yake. Ama hukunielewa ama ulitaka kufikiri nipo kama wewe nitamchana. Mimi siungani na baadhi ya sera zake lakini siwezi tu kumkandia kwa hata ya maana sipo hivyo. Mimi ni free thinker sitegemei CCM ama CHADEMA wanasema nini ila naangalia substance
 
Thesis yake ameindika na kupresent kwa lugha ya kiingereza!Kwa mfumo wa elimu yetu,hairuhusiwi kutumia lugha ya kiswahili sekondari mpaka chuo kikuu!
Ndio maana nimeingiza suala la Phd maana presentation yake ilikuwa kwa kimombo!
 
Back
Top Bottom