Hapa ndipo tunamkukbuka Magu.GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Unaishangaa CCM, hawa ni zaidi ya kikundi cha kihuniGT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Both ??!! 😳 !Alialikwa✔️
Tapeli✔️
Kwenye Bil 10 aliyotoa GSM, almost 9 Bil. katoa Seth.GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Ww ni useless hujui lolote ulimwengu huu nothing emptyAlikwa,tapeli...jambazi alikuibia nini?
Unamaanisha nini?Ntumbu
Kwani wageni hawapewi nida?Usikute na NIDA anayo
Halafu wanaojiita uslama wa taifa wapo tu?!! Hii ni hatari sana kwa uhai wa taifa la Tanzania kwa sasa kwa sababu hatuna msimamizi makini wa 'National Security and Economic Intelligence'GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Mkuu @ ErythrocyteCCM haijawahi kuwa na Aibu na haitokuja kuwa nayo hadi itimuliwe madarakani na Viongozi wake wa sasa na wazamani Wakamatwe
Viongozi Waislamu ni maadui no 1 wa taifa letu ...hakuna mwenye akili asiye tambua jambo hiliWafadhili wa chama ruksa kuwa na uraia pacha!
Enzi za JK balozi wa China Tz alikuwa akionekana sana kwenye majukwaa ya siasa za CCM.
Mombo kasharudisha jezi kwa kipa kwa habari za chini chini
Kazi yao ni kuhangaika na akina Tundu Lissu,Gwajima na Kakobe.View attachment 3442876
Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
Awamu hii, nchi ni uchochoro!View attachment 3442876