ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #121
Unachobisha ni nini labda? Awamu ya 5 ilifanya kipi kwenye Kilimo? Unajua Bajeti ya Wizara ya Kilimo awamu ya 4 vs 5?Hili wala sio suala viongozi waliopita wlikua wanakwepa. Trend ya Tanzania kuwa top 5 kuzalisha mchele ni muda mrefu tu, uzuri tumeendelea kuishikilia hapo
Nimegundua mnaingia kwenye mada ambazo hamzifahamu vizuri na bahati mbaya mtu anaweza kukuandikia chochote usiweze kumpinga sababu unakua hujui.Sidhani kama hiyo 40% ni mikopo bali kuna pahala nilisoma kuwa ni grants/aids kutoka IMF kuinua nchi masikini.
Kuhusu population kaka hiko ni KIGEZO DHAIFU SANA.Maana kuna nchi kama Central African Republic wana population ndogo ila masikini wa kutupwa.
Pia Ethiopia haina vita za kiasi hicho kuifanya isipige hatua kimaendeleo.
Ni vijiugomvi vya kikabila tu.
1)Hakuna uhakika wa ajira.
2)Huduma za kijamii kama elimu,maji,chakula, miundombinu ya usafiri,afya bado viko chini saaaanaaaa.
Na hii nchi haijawahi kutawaliwa sasa tujiulize inakwama wapi!?
Weka hapa takwimu Wacha maneno empty.Nimegundua mnaingia kwenye mada ambazo hamzifahamu vizuri na bahati mbaya mtu anaweza kukuandikia chochote usiweze kumpinga sababu unakua hujui.
Huyi choice variable atakua anawalisha matango sana na ameshajua wengi hamjui ndio maana anaandika chochote. Ethiopia kasustain kwenye ukuaji wa 10% kwa zaidi ya miaka 10, lakini bado hali yako haiplo vizuri.
Kwanza kabisa mm nilikua najibu kuhusu mchele kuwa top 5, hiyo tumekua nayo sio jana Wala leoUnachobisha ni nini labda? Awamu ya 5 ilifanya kipi kwenye Kilimo? Unajua Bajeti ya Wizara ya Kilimo awamu ya 4 vs 5?
Sahihi mkuu ila ndio maana ukaitwa mjadala.Nimegundua mnaingia kwenye mada ambazo hamzifahamu vizuri na bahati mbaya mtu anaweza kukuandikia chochote usiweze kumpinga sababu unakua hujui.
Huyi choice variable atakua anawalisha matango sana na ameshajua wengi hamjui ndio maana anaandika chochote. Ethiopia kasustain kwenye ukuaji wa 10% kwa zaidi ya miaka 10, lakini bado hali yako haiplo vizuri.
Weka mjadala tuambie tulikiwa wapi awamu ya 4 na awamu ya 5 tukagika wapi maana tukilinganisha Sasa hivi itakuwa ni kuwaonea hizo awamu maana mama hana mshindani kwenye uwekezaji wa Kilimo.Kwanza kabisa mm nilikua najibu kuhusu mchele kuwa top 5, hiyo tumekua nayo sio jana Wala leo
Kuhusu bajeti ya kilimo, hilo napongeza sana serikali kuiongeza. But pia kuwa na bajeti kubwa au ndogo sio factor ya kuwa na performance nzuri.
Uzuri mm ni mfatiliaji na msomaji sana kwenye angle zote za kiuchumi. So kama unaweza tuweke mjadala kuhusu kilimo kilipotoka na kilipo sasa, na tuweke kuhusu bajeti ndogo ilifanya nn na bajeti kubwa imefanya nn kwenye ukuaji wa kilimo. Karibu
Data za ethiopia kuwa na ukuaji wa10% kwa miaka zaidi ya 10?? Ungekua msomaji na mfatiliaji usingekataa hili, na kukataa inaonyesha hujuiWeka hapa takwimu Wacha maneno empty.
Pili hata kama ndivyo ilikuwa ,Je vita ziliwaacha salama? Au unaweza nitajua sababu Kwa nini hawakufikia Ustawi unaotakiwa ikiwa walifikia level hizo Kwa miaka 10 kama unavyodai.?
Wewe sasa useme unataka tulinganishe kwenye nini. Kwenye mchele nimekuambia hiyo ilikua ipo hivyo kwa hizo awamu zingine.Weka mjadala tuambie tulikiwa wapi awamu ya 4 na awamu ya 5 tukagika wapi maana tukilinganisha Sasa hivi itakuwa ni kuwaonea hizo awamu maana mama hana mshindani kwenye uwekezaji wa Kilimo.
Sasa mkuu hiki ndicho nilichokua najaribu kukilenga mimi.Data za ethiopia kuwa na ukuaji wa10% kwa miaka zaidi ya 10?? Ungekua msomaji na mfatiliaji usingekataa hili, na kukataa inaonyesha hujui
Kwa nn hawakua na ustawi kwa ukuaji huo? GdP sio factor pekee ya ustawi mzuri, unaweza kuwa na gdp kubwa but kwenye ustawi ukawa hovyo. Mfano Mexico ni nchi yanye GDP kubwa kuliko nchi za BENELUX
Je mexico ustawi kuliko hizo nchi? Netheri, Belgium Luxembourg? Mexico ana gdp kubwa kuliko Singapore, je Mexico ana ustawi kuliko Singapore?
Weka hapa hizo data Wacha maneno matupu.Data za ethiopia kuwa na ukuaji wa10% kwa miaka zaidi ya 10?? Ungekua msomaji na mfatiliaji usingekataa hili, na kukataa inaonyesha hujui
Kwa nn hawakua na ustawi kwa ukuaji huo? GdP sio factor pekee ya ustawi mzuri, unaweza kuwa na gdp kubwa but kwenye ustawi ukawa hovyo. Mfano Mexico ni nchi yanye GDP kubwa kuliko nchi za BENELUX
Je mexico ustawi kuliko hizo nchi? Netheri, Belgium Luxembourg? Mexico ana gdp kubwa kuliko Singapore, je Mexico ana ustawi kuliko Singapore?
Kokote kule wewe chagua Ili tulinganishe tuone Je Kilimo kwanza kilikuwa na Tija au hapana.Wewe sasa useme unataka tulinganishe kwenye nini. Kwenye mchele nimekuambia hiyo ilikua ipo hivyo kwa hizo awamu zingine.
So we useme tulinganishe kipi na kipi
Kauli za burudani bila facts Wala takwimu ni sawa na maneno ya kutongozea mwanamke,Je umeshaingia king aje akushughulikie? 🤣🤣🤣🤣Sasa mkuu hiki ndicho nilichokua najaribu kukilenga mimi.
Ahsante umeongea kwa kauli nyepesi ya kueleweka zaidi.
Angalia hiyo trend kuanzia 2004Weka hapa hizo data Wacha maneno matupu.
Huwezi ku sustain over 10% GDP growth Kwa miaka 10 mfululizo ukasalia kule kule.
Lazima uanze na GDP ndio parameter zingine zitafuata,GDP ndio basic factor ya Uchumi.
Unajua mm nasema awamu zote zimefanya vizuri kwenye kilimo, ww unasema awamu zilizopita hazijafanya vizuri. Ndio ulipaswa kusema hazikufanya vizuri kwenye kipi na kipi ili tuweze kulinganisha na sasaKokote kule wewe chagua Ili tulinganishe tuone Je Kilimo kwanza kilikuwa na Tija au hapana.
Hapo Kuna miaka 10 net not more than that,ukija kwenye definition ya Uchumi Kwa Nchi zinazoendelea inatakiwa Nchi ikue Kwa miaka mingapi mfululizo?Angalia hiyo trend kuanzia 2004
Check hiyo trend ya Ethiopia kuanzia 2004Kauli za burudani bila facts Wala takwimu ni sawa na maneno ya kutongozea mwanamke,Je umeshaingia king aje akushughulikie? 🤣🤣🤣🤣
Awamu iliyojali Kilimo ni awamu ya Mwalimu,Awamu ya JK na Sasa awamu ya 6.Unajua mm nasema awamu zote zimefanya vizuri kwenye kilimo, ww unasema awamu zilizopita hazijafanya vizuri. Ndio ulipaswa kusema hazikufanya vizuri kwenye kipi na kipi ili tuweze kulinganisha na sasa
Au basi tupime mchango wa kilimo kwenye GDP kwa hizo awamu. Sasa hivi percent ngapi inachangiwa na kilimo kwenye GDP? Tuanzie hapo
Hiyo ni miaka 12, hesabu tena vizuri kwa kutliza akiliHapo Kuna miaka 10 net not more than that,ukija kwenye definition ya Uchumi Kwa Nchi zinazoendelea inatakiwa Nchi ikue Kwa miaka mingapi mfululizo?
Pili Nini kimeirudisha nyuma? Maana miaka hiyo ndipo Ethiopia iliipita Kenya na Angola.
Swali nini kiliirudisha nyuma Hadi Kosugi akatae kuwa mfano wa Tanzania kujifunza wakati wao wakifaulu kufikia rates hizo bila Mafuta Wala gesi?
Kama upo serious na hiki ulichokomenti basi wewe ni MAITI inayotumia kwa ujasiriUnaota na hujui unachoongea,hiyo Nchi ya hovyo usiitolee mfano
Unaposema hizo awamu zingine kilimo hakikufanya vizuri, husemi exactly hakikufanya vizuri kwenye nini. Mimi nakuambia hakuna awamu haikujali kilimoAwamu iliyojali Kilimo ni awamu ya Mwalimu,Awamu ya JK na Sasa awamu ya 6.
Hazikufanya vizuri wapi ni nyanja zote za sekta ya Kilimo Kwa sababu kilitelekezwa wakulima watumie jasho lao bila Msaada wa Serikali kweypembejeo Wala kuwatafutia masoko au kuwajengea skimu za Umwagiliaji.
Kiufupi ni kwamba haikuwa kipaombele Cha awamu hizo za 5,3 na 2.
Mwisho,Je unakubalina kwamba Ili Tanzania ifaulu inahitaji Ukuaji wa sekta ya Kilimo iwe kuanzia 6%?