IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Hili wala sio suala viongozi waliopita wlikua wanakwepa. Trend ya Tanzania kuwa top 5 kuzalisha mchele ni muda mrefu tu, uzuri tumeendelea kuishikilia hapo
Unachobisha ni nini labda? Awamu ya 5 ilifanya kipi kwenye Kilimo? Unajua Bajeti ya Wizara ya Kilimo awamu ya 4 vs 5?
 
Sidhani kama hiyo 40% ni mikopo bali kuna pahala nilisoma kuwa ni grants/aids kutoka IMF kuinua nchi masikini.

Kuhusu population kaka hiko ni KIGEZO DHAIFU SANA.Maana kuna nchi kama Central African Republic wana population ndogo ila masikini wa kutupwa.
Pia Ethiopia haina vita za kiasi hicho kuifanya isipige hatua kimaendeleo.
Ni vijiugomvi vya kikabila tu.
1)Hakuna uhakika wa ajira.
2)Huduma za kijamii kama elimu,maji,chakula, miundombinu ya usafiri,afya bado viko chini saaaanaaaa.
Na hii nchi haijawahi kutawaliwa sasa tujiulize inakwama wapi!?
Nimegundua mnaingia kwenye mada ambazo hamzifahamu vizuri na bahati mbaya mtu anaweza kukuandikia chochote usiweze kumpinga sababu unakua hujui.

Huyi choice variable atakua anawalisha matango sana na ameshajua wengi hamjui ndio maana anaandika chochote. Ethiopia kasustain kwenye ukuaji wa 10% kwa zaidi ya miaka 10, lakini bado hali yako haiplo vizuri.
 
Weka hapa takwimu Wacha maneno empty.

Pili hata kama ndivyo ilikuwa ,Je vita ziliwaacha salama? Au unaweza nitajua sababu Kwa nini hawakufikia Ustawi unaotakiwa ikiwa walifikia level hizo Kwa miaka 10 kama unavyodai.?
 
Unachobisha ni nini labda? Awamu ya 5 ilifanya kipi kwenye Kilimo? Unajua Bajeti ya Wizara ya Kilimo awamu ya 4 vs 5?
Kwanza kabisa mm nilikua najibu kuhusu mchele kuwa top 5, hiyo tumekua nayo sio jana Wala leo

Kuhusu bajeti ya kilimo, hilo napongeza sana serikali kuiongeza. But pia kuwa na bajeti kubwa au ndogo sio factor ya kuwa na performance nzuri.

Uzuri mm ni mfatiliaji na msomaji sana kwenye angle zote za kiuchumi. So kama unaweza tuweke mjadala kuhusu kilimo kilipotoka na kilipo sasa, na tuweke kuhusu bajeti ndogo ilifanya nn na bajeti kubwa imefanya nn kwenye ukuaji wa kilimo. Karibu
 
Nimegundua mnaingia kwenye mada ambazo hamzifahamu vizuri na bahati mbaya mtu anaweza kukuandikia chochote usiweze kumpinga sababu unakua hujui.

Huyi choice variable atakua anawalisha matango sana na ameshajua wengi hamjui ndio maana anaandika chochote. Ethiopia kasustain kwenye ukuaji wa 10% kwa zaidi ya miaka 10, lakini bado hali yako haiplo vizuri.
Sahihi mkuu ila ndio maana ukaitwa mjadala.
Tufahamishe na wewe ujuavyo mkuu.
 
Kwanza kabisa mm nilikua najibu kuhusu mchele kuwa top 5, hiyo tumekua nayo sio jana Wala leo

Kuhusu bajeti ya kilimo, hilo napongeza sana serikali kuiongeza. But pia kuwa na bajeti kubwa au ndogo sio factor ya kuwa na performance nzuri.

Uzuri mm ni mfatiliaji na msomaji sana kwenye angle zote za kiuchumi. So kama unaweza tuweke mjadala kuhusu kilimo kilipotoka na kilipo sasa, na tuweke kuhusu bajeti ndogo ilifanya nn na bajeti kubwa imefanya nn kwenye ukuaji wa kilimo. Karibu
Weka mjadala tuambie tulikiwa wapi awamu ya 4 na awamu ya 5 tukagika wapi maana tukilinganisha Sasa hivi itakuwa ni kuwaonea hizo awamu maana mama hana mshindani kwenye uwekezaji wa Kilimo.
 
Weka hapa takwimu Wacha maneno empty.

Pili hata kama ndivyo ilikuwa ,Je vita ziliwaacha salama? Au unaweza nitajua sababu Kwa nini hawakufikia Ustawi unaotakiwa ikiwa walifikia level hizo Kwa miaka 10 kama unavyodai.?
Data za ethiopia kuwa na ukuaji wa10% kwa miaka zaidi ya 10?? Ungekua msomaji na mfatiliaji usingekataa hili, na kukataa inaonyesha hujui

Kwa nn hawakua na ustawi kwa ukuaji huo? GdP sio factor pekee ya ustawi mzuri, unaweza kuwa na gdp kubwa but kwenye ustawi ukawa hovyo. Mfano Mexico ni nchi yanye GDP kubwa kuliko nchi za BENELUX
Je mexico ustawi kuliko hizo nchi? Netheri, Belgium Luxembourg? Mexico ana gdp kubwa kuliko Singapore, je Mexico ana ustawi kuliko Singapore?
 
Weka mjadala tuambie tulikiwa wapi awamu ya 4 na awamu ya 5 tukagika wapi maana tukilinganisha Sasa hivi itakuwa ni kuwaonea hizo awamu maana mama hana mshindani kwenye uwekezaji wa Kilimo.
Wewe sasa useme unataka tulinganishe kwenye nini. Kwenye mchele nimekuambia hiyo ilikua ipo hivyo kwa hizo awamu zingine.

So we useme tulinganishe kipi na kipi
 
Data za ethiopia kuwa na ukuaji wa10% kwa miaka zaidi ya 10?? Ungekua msomaji na mfatiliaji usingekataa hili, na kukataa inaonyesha hujui

Kwa nn hawakua na ustawi kwa ukuaji huo? GdP sio factor pekee ya ustawi mzuri, unaweza kuwa na gdp kubwa but kwenye ustawi ukawa hovyo. Mfano Mexico ni nchi yanye GDP kubwa kuliko nchi za BENELUX
Je mexico ustawi kuliko hizo nchi? Netheri, Belgium Luxembourg? Mexico ana gdp kubwa kuliko Singapore, je Mexico ana ustawi kuliko Singapore?
Sasa mkuu hiki ndicho nilichokua najaribu kukilenga mimi.
Ahsante umeongea kwa kauli nyepesi ya kueleweka zaidi.
 
Weka hapa hizo data Wacha maneno matupu.

Huwezi ku sustain over 10% GDP growth Kwa miaka 10 mfululizo ukasalia kule kule.

Lazima uanze na GDP ndio parameter zingine zitafuata,GDP ndio basic factor ya Uchumi.
 
Wewe sasa useme unataka tulinganishe kwenye nini. Kwenye mchele nimekuambia hiyo ilikua ipo hivyo kwa hizo awamu zingine.

So we useme tulinganishe kipi na kipi
Kokote kule wewe chagua Ili tulinganishe tuone Je Kilimo kwanza kilikuwa na Tija au hapana.
 
Sasa mkuu hiki ndicho nilichokua najaribu kukilenga mimi.
Ahsante umeongea kwa kauli nyepesi ya kueleweka zaidi.
Kauli za burudani bila facts Wala takwimu ni sawa na maneno ya kutongozea mwanamke,Je umeshaingia king aje akushughulikie? 🤣🤣🤣🤣
 
Weka hapa hizo data Wacha maneno matupu.

Huwezi ku sustain over 10% GDP growth Kwa miaka 10 mfululizo ukasalia kule kule.

Lazima uanze na GDP ndio parameter zingine zitafuata,GDP ndio basic factor ya Uchumi.
Angalia hiyo trend kuanzia 2004
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-182313_1.jpg
    Screenshot_20240916-182313_1.jpg
    189.7 KB · Views: 1
Kokote kule wewe chagua Ili tulinganishe tuone Je Kilimo kwanza kilikuwa na Tija au hapana.
Unajua mm nasema awamu zote zimefanya vizuri kwenye kilimo, ww unasema awamu zilizopita hazijafanya vizuri. Ndio ulipaswa kusema hazikufanya vizuri kwenye kipi na kipi ili tuweze kulinganisha na sasa

Au basi tupime mchango wa kilimo kwenye GDP kwa hizo awamu. Sasa hivi percent ngapi inachangiwa na kilimo kwenye GDP? Tuanzie hapo
 
Angalia hiyo trend kuanzia 2004
Hapo Kuna miaka 10 net not more than that,ukija kwenye definition ya Uchumi Kwa Nchi zinazoendelea inatakiwa Nchi ikue Kwa miaka mingapi mfululizo?

Pili Nini kimeirudisha nyuma? Maana miaka hiyo ndipo Ethiopia iliipita Kenya na Angola.

Swali nini kiliirudisha nyuma Hadi Kosugi akatae kuwa mfano wa Tanzania kujifunza wakati wao wakifaulu kufikia rates hizo bila Mafuta Wala gesi?
 
Kauli za burudani bila facts Wala takwimu ni sawa na maneno ya kutongozea mwanamke,Je umeshaingia king aje akushughulikie? 🤣🤣🤣🤣
Check hiyo trend ya Ethiopia kuanzia 2004
Sasa tunaweza kuendelea na mjadala. Is it?
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-182313_1.jpg
    Screenshot_20240916-182313_1.jpg
    189.7 KB · Views: 1
Unajua mm nasema awamu zote zimefanya vizuri kwenye kilimo, ww unasema awamu zilizopita hazijafanya vizuri. Ndio ulipaswa kusema hazikufanya vizuri kwenye kipi na kipi ili tuweze kulinganisha na sasa

Au basi tupime mchango wa kilimo kwenye GDP kwa hizo awamu. Sasa hivi percent ngapi inachangiwa na kilimo kwenye GDP? Tuanzie hapo
Awamu iliyojali Kilimo ni awamu ya Mwalimu,Awamu ya JK na Sasa awamu ya 6.

Hazikufanya vizuri wapi ni nyanja zote za sekta ya Kilimo Kwa sababu kilitelekezwa wakulima watumie jasho lao bila Msaada wa Serikali kweypembejeo Wala kuwatafutia masoko au kuwajengea skimu za Umwagiliaji.

Kiufupi ni kwamba haikuwa kipaombele Cha awamu hizo za 5,3 na 2.

Mwisho,Je unakubalina kwamba Ili Tanzania ifaulu inahitaji Ukuaji wa sekta ya Kilimo iwe kuanzia 6%?
 
Hapo Kuna miaka 10 net not more than that,ukija kwenye definition ya Uchumi Kwa Nchi zinazoendelea inatakiwa Nchi ikue Kwa miaka mingapi mfululizo?

Pili Nini kimeirudisha nyuma? Maana miaka hiyo ndipo Ethiopia iliipita Kenya na Angola.

Swali nini kiliirudisha nyuma Hadi Kosugi akatae kuwa mfano wa Tanzania kujifunza wakati wao wakifaulu kufikia rates hizo bila Mafuta Wala gesi?
Hiyo ni miaka 12, hesabu tena vizuri kwa kutliza akili

Pia nilikua najibu pale uliposema wakikaa au wangekaa kwenye performance hiyo kwa miaka 10 wasingekua hivyo walivyo. Kitu ambacho mm ndio nimekuja kukujibu kuwa walikaa.
 
Awamu iliyojali Kilimo ni awamu ya Mwalimu,Awamu ya JK na Sasa awamu ya 6.

Hazikufanya vizuri wapi ni nyanja zote za sekta ya Kilimo Kwa sababu kilitelekezwa wakulima watumie jasho lao bila Msaada wa Serikali kweypembejeo Wala kuwatafutia masoko au kuwajengea skimu za Umwagiliaji.

Kiufupi ni kwamba haikuwa kipaombele Cha awamu hizo za 5,3 na 2.

Mwisho,Je unakubalina kwamba Ili Tanzania ifaulu inahitaji Ukuaji wa sekta ya Kilimo iwe kuanzia 6%?
Unaposema hizo awamu zingine kilimo hakikufanya vizuri, husemi exactly hakikufanya vizuri kwenye nini. Mimi nakuambia hakuna awamu haikujali kilimo

Basi tupime kilimo kwenye mchango wake kwenye GDP . Je kwa sasa kilimo kinachangia percent ngapi kwenye GDP? Ili tulinganishe na hizo zingine
 
Back
Top Bottom