ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #121
Unachobisha ni nini labda? Awamu ya 5 ilifanya kipi kwenye Kilimo? Unajua Bajeti ya Wizara ya Kilimo awamu ya 4 vs 5?Hili wala sio suala viongozi waliopita wlikua wanakwepa. Trend ya Tanzania kuwa top 5 kuzalisha mchele ni muda mrefu tu, uzuri tumeendelea kuishikilia hapo