#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Kwani hizi taarifa za deni la taifa kukua kwa kasi ya 4G mlikua mnaziona au hamzioni wenzetu. Kwasababu hauna taarifa nayo haimaanishi haipo. Kwahiyo wewe akili yako inakutuma awamu ya tano haikua ikukopa kwamba wanajenga kwa pesa za ndani.
Hadi sasa bi mkubwa ana miezi 3 kashakopa zaidi ya mikopo 8 na miwili tumetolewa nje..huoni hatari hiyo akimaliza miaka 4..!!..yaani mikopo in Kenyatta's way
 
Stigla goji inajengwa na nini kama sio mikopo?
Alikopa wapi!??..yaani wazungu wakupe mkopo wa kujenga mradi ambao wao wanaupinga,na wameupinga kwa miaka mingi!??..akili yako inafanya kazi wewe!??..Nipe source ya taarifa za mkopo tofauti na zitto kabwe
 
Enda ukaangalie ripoti za bank of Tanzania, utaona mlikua mnachukua mikopo kila mwaka hata hizo enzi za JPM, sema tu ilikua haitangazwi wazi kwa wananchi ili muendelee kuamini kila kitu linajengwa na 'pesa za ndani'
Their debt is rising daily. And if you look at their debt structure, more than 70% of their debt is external compared to Kenya's where 53% is internal and external only account for 40%.

 
Wakubwa wameziba pamba maskini hawawezi kujiuliza kwa nini corona ipande ili hali watu wamechanjwa,kinacho angaliwa pesa za misaada tena siyo misaada ni mkopo.
Mungu yupo ipo siku mtajua kuwa nyie ni binadamu tu.
 
Magufuli pamoja na kwamba alikuwa anakosolewa katika hili la Corona ila alikuwa anajua ni nini anafanya hata kama alikuwa anakosea, ila Mama samia ni wazi anaonekana hajui nini anafanya haelewi hili suala la Corona. Magufuli yeye alikuwa anadai hakuna corona huo ndio ulikuwa msimamo wake na hivyo akaachia watu waishi kama ulivyo msimamo wake kuwa nchi haina corona, ila sasa Mama samia yeye msimamo wake kuwa corona ipo nchini ila kaachia mambo yaende kama ulivyokuwa msimamo wa Magufuli.

Unasema corona ipo halafu hupimi watu hiyo corona,unasema corona ipo halafu huzuia mambo ambayo hufanya mikusanyiko isiyo ya lazima, unasema corona ipo halafu huoneshi Userious katika kuwahimiza wananchi kuchukua tahadhari.

Hayo yote kashindwa kuyafanya ila anakimbilia chanjo za corona utafikiri zikija anawachanja watu wote kwa siku moja.
 
Kwenu wamekufa wangapi na corona
 
Umeongea kama mlevi wa the kick hivi unaweza fananisha uchumi wa china na wakwetu? Nyie ndio mlikuwa mnamdanganya mzee wenu tumekuwa donor country tuishi kwenye uhalisia bado tunaitaji misaada yao kwa namna nyingi tu.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Tanzania inapambana na Covid-19 kimya kimya !! yaani tunatumia ile style ya buruguni ya kukimbiza mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…