IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

Upuuzi tu! Ndo serikali yako inajuaga ifike atua mikopo ijadiliwe BungeBungeni si kujiamlia kama nchi ni ya Babake.
 
Nchi gani imewahi pigwa Mnada kisa mikopo? Alikutajia?
Umejaribu ku gugu?

Pili, hata kama hakuna nchi imewahi kupigwa mnada bado haiondoi uwezekano wa kupigwa mnada huko mbeleni, so excuse kwamba kwa kua haijawahi kutokea basi haitatokea ni excuse ya kipumbavu.
 
Mbeleni wapi? Nchi gani iliwahi kupigwa Mnada mbeleni au nyuma?
 
Asante sana IMF
 
Dahhhh....
Ipo siku wajukuu zetu watakuja kumjengea mnara wa kumkumbuka Job Ndugai....😞
 
Mbeleni wapi? Nchi gani iliwahi kupigwa Mnada mbeleni au nyuma?
Mkuu, sijui level yako ya uelewa iko chini kwa kiasi gani lakini ngoja tena nijaribu kukuelewesha. Nimesema kwa kua hakuna nchi iliyowahi kupigwa mnada huko nyuma kwa sababu ya madeni haina maana kwamba huko mbele(future) hakuna nchi itakayopigwa mnada.

Labda nielezee zaidi kwa kimombo. You cannot definitively rule out that something will never happen in the future just because it has never happened before. The fact that an event has not occurred up to this point does not logically preclude its occurrence in the future. This is the principle of absence of evidence is not evidence of absence.
 
Kimombo au kiswazi haviwezi jibu swali langu,Nchi gani imewahi pigwa Mnada? Nchi ni property au Huwa inawekwa dhamana? Punguza ujinga.

Mwisho kwani inatakiwa deni liwe kubwa kiasi gani ili Nchi ipigwenada?
 
Kujivunia ukopaji na misaada ni ujinga na umasikini, ni kujidharirisha na kukosa kujiamini

Tafuta chako, jibane ili uwe na cha kwako utaheshimika!

Mikopo inavua nguo chief

Hii haiwezi kuwa ndio sifa stahiki
 
Kimombo au kiswazi haviwezi jibu swali langu,Nchi gani imewahi pigwa Mnada? Nchi ni property au Huwa inawekwa dhamana? Punguza ujinga.

Mwisho kwani inatakiwa deni liwe kubwa kiasi gani ili Nchi ipigwenada?
Swali ulilouliza ni la kipumbavu, halina maana ndio maana najaribu kukuelewesha kupanua ubungo wako angalau uwe unauliza maswali yenye maana lakini vile wewe ni chawa akili huna.

Usivyo na akili hujui kwamba wakikopa wanaweka rasilimali za nchi kama dhamana na nchi inaundwa na rasilimali zilizopo kuanzia ardhi, maziwa, habari nk.
 
Mbona akijenga nyumba wanasema mh Rais ndo kafanya,,hivyo tukubali kwamba nd amdeni au madhambi ya upigaji ndo anahusika la sivyo basi madhambi ya mgufuri sijui kuua watu kwanini tunamsingizia kama issue ni taasisis
Yupo kwenye taasisi ya urais ameshasema yanayofanyika yote kwenye urais wake sio yeye ni taasisi ndio inaamua kwa hio msijemkaanza kumlaumu yeye ilaumuni taasisi sio yeye yeye hausiki
 
Huna jibu wewe nyumbu unaleta habari za kufikirika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona akijenga nyumba wanasema mh Rais ndo kafanya,,hivyo tukubali kwamba nd amdeni au madhambi ya upigaji ndo anahusika la sivyo basi madhambi ya mgufuri sijui kuua watu kwanini tunamsingizia kama issue ni taasisis
Sawa tuu kwani Kuna shida gani?
 
hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hela sio hali ya hewa
 
Mwaga pesa mwaga pesa IMF ili kazi iendelee πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C8eRkK_KkLF/?igsh=amdqaHpnanBldTBz
 
Hata Sasa Nchi inalipa mikopo ya kina Nyerere,ndio utaratibu maana maisha ya kesho huandaliwa Sasa hivi
Acha uongo, mkopo wa Nyerere ulimlizwa na Mkapa na sehemu Fulani Kikwete. Nyerere aliacha Deni Trilioni 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…