ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Kwa nini?Nazihurumia hizo hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini?Nazihurumia hizo hela
Jukwaani ndio mubashara sio huko kwingine,wewe unaogopa nini?Unataka ushahidi hapa jukwaani nifuate mubashara nikakunyeshe ushahidi!
Upuuzi tu! Ndo serikali yako inajuaga ifike atua mikopo ijadiliwe BungeBungeni si kujiamlia kama nchi ni ya Babake.Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.
Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi kiholela.
Aidha ieleweke kwamba Nchi inakopeshwa Kwa sababu Ina uwezo wa kulipa kulingana na uimara wa Uchumi wake. Sio Kila Nchi inapewa Mkopo.
My Take: Katika kipindi hiki Nchi inatekeleza miradi mikubwa ya Maendeleo, Tuendelee kukopa kwani mikopo inaharakisha maendeleo hususani Miradi ya kimkakati
==============
Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Shirika hilo la kifedha linakamilisha pia tathmini tofauti ya kuruhusu malipo ya dola milioni 149.4 kwa ajili ya msaada wa bajeti.
Mamlaka za Tanzania zina dhamira ya kuendelea kutekeleza mageuzi ya kudhibiti uthabiti wa kifedha, kuimarisha ufufuaji wa uchumi, kukuza ukuaji endelevu na shirikishi, IMF ilisema katika taarifa.
Katika miaka mitatu iliyopita, utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ulifanya mageuzi mbalimbali ya kiuchumi kwa lengo la kurudisha ukuaji wa uchumi katika kiwango cha ukuaji wa pato la taifa la kabla ya janga la Covid wa asilimia 6 hadi asilimia 7.
Mpango wa mageuzi ya uchumi wa Tanzania bado umeendelea kuwa imara, IMF imesema, na kuongeza kuwa ukuaji wa uchumi uliongezeka mwaka 2023 baada ya kupungua mwaka 2022.
Uchumi wa Tanzania ambao unategemea utali, madini, kilimo na viwanda, umeendelea kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa yanayochochewa na kuongezeka kwa sekta ya huduma, kulingana na Benki ya Dunia.
Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka huu, kutoka asilimia 5.1, waziri wa mipango na uwekezaji katika Ofisi ya Rais, Kitila Mkumbo alisema wiki iliyopita.
DW Kiswahili
PIA, SOMA:
Umejaribu ku gugu?Nchi gani imewahi pigwa Mnada kisa mikopo? Alikutajia?
Wewe bwege kweli, kwani mikopo Huwa inajadiliwa wapi?Upuuzi tu! Ndo serikali yako inajuaga ifike atua mikopo ijadiliwe BungeBungeni si kujiamlia kama nchi ni ya Babake.
Mbeleni wapi? Nchi gani iliwahi kupigwa Mnada mbeleni au nyuma?Umejaribu ku gugu?
Pili, hata kama hakuna nchi imewahi kupigwa mnada bado haiondoi uwezekano wa kupigwa mnada huko mbeleni, so excuse kwamba kwa kua haijawahi kutokea basi haitatokea ni excuse ya kipumbavu.
Asante sana IMFBodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.
Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi kiholela.
Aidha ieleweke kwamba Nchi inakopeshwa Kwa sababu Ina uwezo wa kulipa kulingana na uimara wa Uchumi wake. Sio Kila Nchi inapewa Mkopo.
My Take: Katika kipindi hiki Nchi inatekeleza miradi mikubwa ya Maendeleo, Tuendelee kukopa kwani mikopo inaharakisha maendeleo hususani Miradi ya kimkakati
==============
Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Shirika hilo la kifedha linakamilisha pia tathmini tofauti ya kuruhusu malipo ya dola milioni 149.4 kwa ajili ya msaada wa bajeti.
Mamlaka za Tanzania zina dhamira ya kuendelea kutekeleza mageuzi ya kudhibiti uthabiti wa kifedha, kuimarisha ufufuaji wa uchumi, kukuza ukuaji endelevu na shirikishi, IMF ilisema katika taarifa.
Katika miaka mitatu iliyopita, utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ulifanya mageuzi mbalimbali ya kiuchumi kwa lengo la kurudisha ukuaji wa uchumi katika kiwango cha ukuaji wa pato la taifa la kabla ya janga la Covid wa asilimia 6 hadi asilimia 7.
Mpango wa mageuzi ya uchumi wa Tanzania bado umeendelea kuwa imara, IMF imesema, na kuongeza kuwa ukuaji wa uchumi uliongezeka mwaka 2023 baada ya kupungua mwaka 2022.
Uchumi wa Tanzania ambao unategemea utali, madini, kilimo na viwanda, umeendelea kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa yanayochochewa na kuongezeka kwa sekta ya huduma, kulingana na Benki ya Dunia.
Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka huu, kutoka asilimia 5.1, waziri wa mipango na uwekezaji katika Ofisi ya Rais, Kitila Mkumbo alisema wiki iliyopita.
DW Kiswahili
PIA, SOMA:
Mkuu, sijui level yako ya uelewa iko chini kwa kiasi gani lakini ngoja tena nijaribu kukuelewesha. Nimesema kwa kua hakuna nchi iliyowahi kupigwa mnada huko nyuma kwa sababu ya madeni haina maana kwamba huko mbele(future) hakuna nchi itakayopigwa mnada.Mbeleni wapi? Nchi gani iliwahi kupigwa Mnada mbeleni au nyuma?
Grants hazinaga refund.The same meaning,mikopo ya riba nafuu huitwa grants au concessional loans
Kimombo au kiswazi haviwezi jibu swali langu,Nchi gani imewahi pigwa Mnada? Nchi ni property au Huwa inawekwa dhamana? Punguza ujinga.Mkuu, sijui level yako ya uelewa iko chini kwa kiasi gani lakini ngoja tena nijaribu kukuelewesha. Nimesema kwa kua hakuna nchi iliyowahi kupigwa mnada huko nyuma kwa sababu ya madeni haina maana kwamba huko mbele(future) hakuna nchi itakayopigwa mnada.
Labda nielezee zaidi kwa kimombo. You cannot definitively rule out that something will never happen in the future just because it has never happened before. The fact that an event has not occurred up to this point does not logically preclude its occurrence in the future. This is the principle of absence of evidence is not evidence of absence.
Nataka nikupeleke kwenye ushahidi ukaushike na upige na picha mtu mzima wacha woga!Jukwaani ndio mubashara sio huko kwingine,wewe unaogopa nini?
Swali ulilouliza ni la kipumbavu, halina maana ndio maana najaribu kukuelewesha kupanua ubungo wako angalau uwe unauliza maswali yenye maana lakini vile wewe ni chawa akili huna.Kimombo au kiswazi haviwezi jibu swali langu,Nchi gani imewahi pigwa Mnada? Nchi ni property au Huwa inawekwa dhamana? Punguza ujinga.
Mwisho kwani inatakiwa deni liwe kubwa kiasi gani ili Nchi ipigwenada?
Yupo kwenye taasisi ya urais ameshasema yanayofanyika yote kwenye urais wake sio yeye ni taasisi ndio inaamua kwa hio msijemkaanza kumlaumu yeye ilaumuni taasisi sio yeye yeye hausiki
Huna jibu wewe nyumbu unaleta habari za kufikirika 😂😂😂Swali ulilouliza ni la kipumbavu, halina maana ndio maana najaribu kukuelewesha kupanua ubungo wako angalau uwe unauliza maswali yenye maana lakini vile wewe ni chawa akili huna.
Usivyo na akili hujui kwamba wakikopa wanaweka rasilimali za nchi kama dhamana na nchi inaundwa na rasilimali zilizopo kuanzia ardhi, maziwa, habari nk.
Sawa tuu kwani Kuna shida gani?Mbona akijenga nyumba wanasema mh Rais ndo kafanya,,hivyo tukubali kwamba nd amdeni au madhambi ya upigaji ndo anahusika la sivyo basi madhambi ya mgufuri sijui kuua watu kwanini tunamsingizia kama issue ni taasisis
Mwaga pesa mwaga pesa IMF ili kazi iendelee 👇👇Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.
Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi kiholela.
Aidha ieleweke kwamba Nchi inakopeshwa Kwa sababu Ina uwezo wa kulipa kulingana na uimara wa Uchumi wake. Sio Kila Nchi inapewa Mkopo.
My Take: Katika kipindi hiki Nchi inatekeleza miradi mikubwa ya Maendeleo, Tuendelee kukopa kwani mikopo inaharakisha maendeleo hususani Miradi ya kimkakati
==============
Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Shirika hilo la kifedha linakamilisha pia tathmini tofauti ya kuruhusu malipo ya dola milioni 149.4 kwa ajili ya msaada wa bajeti.
Mamlaka za Tanzania zina dhamira ya kuendelea kutekeleza mageuzi ya kudhibiti uthabiti wa kifedha, kuimarisha ufufuaji wa uchumi, kukuza ukuaji endelevu na shirikishi, IMF ilisema katika taarifa.
Katika miaka mitatu iliyopita, utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ulifanya mageuzi mbalimbali ya kiuchumi kwa lengo la kurudisha ukuaji wa uchumi katika kiwango cha ukuaji wa pato la taifa la kabla ya janga la Covid wa asilimia 6 hadi asilimia 7.
Mpango wa mageuzi ya uchumi wa Tanzania bado umeendelea kuwa imara, IMF imesema, na kuongeza kuwa ukuaji wa uchumi uliongezeka mwaka 2023 baada ya kupungua mwaka 2022.
Uchumi wa Tanzania ambao unategemea utali, madini, kilimo na viwanda, umeendelea kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa yanayochochewa na kuongezeka kwa sekta ya huduma, kulingana na Benki ya Dunia.
Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka huu, kutoka asilimia 5.1, waziri wa mipango na uwekezaji katika Ofisi ya Rais, Kitila Mkumbo alisema wiki iliyopita.
DW Kiswahili
PIA, SOMA:
Acha uongo, mkopo wa Nyerere ulimlizwa na Mkapa na sehemu Fulani Kikwete. Nyerere aliacha Deni Trilioni 3.Hata Sasa Nchi inalipa mikopo ya kina Nyerere,ndio utaratibu maana maisha ya kesho huandaliwa Sasa hivi