Sawa tu
 
Bunge la sasa nani wanaweza kuifanyia tathmini mikopo mikubwa kama hii??!
 
Nawasalimu kwa jina la MIKOPO. Wote mtaitikia"MIKOPO IENDELEE"

Kwa mikopo hii, ipo siku J.K. NYERERE na J.P.MAGUFULI watafufuka ili kuonesha hasira zao.
 
Tufahamu tu hizo ni pesa za mkopo tena zina msururu wa masharti kutoka kwa wakopeshaji, hivyo tutapaswa kuzilipa kwa faida na kufuata masharti yao.

Swali linakuja.
1. Tutazilipaje?
2. Zina masharti gani?
Uiisha pigs kura nakuridhika namatokeo sasa tulia upate matokeo yakura yako
 
Bunge la sasa nani wanaweza kuifanyia tathmini mikopo mikubwa kama hii??!
Bunge la wananchi linaweza. Tuandike KATIBA kwanza. Mbinyo uendelee,

Waziri wa Fedha ni saiz yetu, tumuwajibishe huyo.
 
"Shukrani nyingi sana kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipigania Tanzania Kimataifa."
Katika kipindi hiki cha karne ya 21, ambapo Diplomasia ya uchumi ndio aina ya ushirikiano unaofukuta kwa kasi zaidi dunani. Tanzania imeendelea kujipambanua kuwa imara zaidi chini ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Mataifa makubwa na taasisi za fedha za kimataifa zimeendelea kuiamini Tanzania katika kuipatia misaada na mkopo kwa kipaumbele cha kipekee.

July 18th, 2022. Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha mkopo nafuu wa Dola za Marekani Bilioni 1.05 (zaidi ya trilioni 2.5) kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa Tanzania.

Sambamba na kukabiliana na madhara ya kiuchumi ambayo yametokana na vita vya Urusi na Ukarine, fedha zinazotolewa ndani ya miezi 40 kupitia Mpango wa Nyongeza ya Mikopo (ECF) huku wakitanguliza dola milioni 151.7.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 18,2022 na IMF pia fedha hizo zinalenga kujenga uchumi himilivu na kusaidia mageuzi ya kimuundo yatakayoleta ukuaji wa uchumi jumuishi kwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali ya Tanzania.

Awali, IMF ilitoa zaidi ya shilingi trilioni moja kwa Tanzania kutoka mfuko wa mkopo wa dharura, lengo likiwa ni kusaidia juhudi za serikali za kukabiliana na uhitaji wa dharura katika sekta ya afya, misaada ya kibinadamu na changamoto nyingine za kiuchumi.

Fedha zitaenda kwenye Kilimo, mifugo na Uvuvi na Nishati" alisema waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba.
 
"Shukrani nyingi sana kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipigania Tanzania Kimataifa."

Katika kipindi hiki cha karne ya 21, ambapo Diplomasia ya uchumi ndio aina ya ushirikiano unaofukuta kwa kasi zaidi dunani.

Tanzania imeendelea kujipambanua kuwa imara zaidi chini ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Mataifa makubwa na taasisi za fedha za kimataifa zimeendelea kuiamini Tanzania katika kuipatia misaada na mkopo kwa kipaumbele cha kipekee.

July 18th, 2022. Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha mkopo nafuu wa Dola za Marekani Bilioni 1.05 (zaidi ya trilioni 2.5) kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa Tanzania.

Sambamba na kukabiliana na madhara ya kiuchumi ambayo yametokana na vita vya Urusi na Ukarine, fedha zinazotolewa ndani ya miezi 40 kupitia Mpango wa Nyongeza ya Mikopo (ECF) huku wakitanguliza dola milioni 151.7.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 18,2022 na IMF pia fedha hizo zinalenga kujenga uchumi himilivu na kusaidia mageuzi ya kimuundo yatakayoleta ukuaji wa uchumi jumuishi kwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali ya Tanzania.

Awali, IMF ilitoa zaidi ya shilingi trilioni moja kwa Tanzania kutoka mfuko wa mkopo wa dharura, lengo likiwa ni kusaidia juhudi za serikali za kukabiliana na uhitaji wa dharura katika sekta ya afya, misaada ya kibinadamu na changamoto nyingine za kiuchumi.

Fedha zitaenda kwenye Kilimo, mifugo na Uvuvi na Nishati" alisema waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba.
 
Hizo pesa zinaingia mifukoni mwa watu,halafu chache zinazugia kiaina kufanya shughuli za maendeleo.
 
Hivi wewe ukisema yamwagiwa unadhani inamwagiwa bure?

Unafikiri wanaomwaga wanawaminya walipakodi wao walipe kodi then waje kutumwagia tu hivihivi?

Something wrongo somewhere with you

Kwa naana hiyo wabongo tuendelee kukaa mkao wa kumwagiwa?

Watanzania naona mmemsikia wenyewe huyu jamaa kazi kwenu.......
 
Kuna siku tutakuja na matusi mazito mazito na kujaa ikulu pale kudai hizo pesa zimeenda wapi ...tatizo sio kukopa tatizo je zinatumika kwa wananchi
 
21s century kiumbe mwenye kila kiungo anashukuru misaada.

taifa lina changamoto nyingi,ujinga,umasikini na maradhi halafu kuna unafiki au uchawa.
 
Sawa ngoja tujiandae tule
 
We zumbukuku ama!!
Yan Bretton wood aanzishe tasisi ifany kaz kwa msaada wa bure bure
 
Job alichokosea ni kuomba msamaha tu, vinginevyo angekufa kishujaa.

Yale maneno yake yataendelea kuishi kwetu, bila kusahau zimeanzishwa tozo mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…