IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

Hizi data za uchumi sijui wanazitoa wapi. Kwa hii lavel ya ukosefu wa ajira na umaskini, bado tunaambiwa Tanzania wako vizuri? Ajabu sana hii.
 
Mpaka Wazungu wanajitahidi kuharibu legacy ya Mwendazake πŸ˜…πŸ™

Wanaogopa sera zake za kuwabana mabeberu wasitoroshe madini inaweza ikaigwa na Nchi nyingine za Afrika πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™ !

Hii yote ni kuwafanya Waafrika waamini kwamba sera za yule jamaa hazifai kabisa ndio maana alipoondoka tu sasa Tanzania inapaa kiuchumi πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™ !
Kazi kweli kweli. !!
 
Hapa nakuelewa lakini kipi hapo umwekeza? Wahindi wachache kwenye manufacturing, Sisi vikaragosi tupo kwenye service, you didn’t mention the role of mainstay- business which the service sector will rely upon! DHL, EMS, etc etc watatumia nini kufanya service? Everything is in tatars
 
Sawa ila uzalishaji wa Cacao huko Ivory Coast ndio backbone ya Nchi na inaongoza Duniani ,unategemea nini?

Tanzania tuu hapa Bei ya Kakao Kwa Sasa ni 30,000/kg
Hapa Tanzania inalimwa wapi?
 
Mapunguani kama nyie Huwa hamkosekani..Aliyesema Tanzania imeingia Uchumi wa Kati sio mzungu Bali ni Gadafi.
 
Hizi akili za wapi? Unasema wewe una Pato kubwa unaweza kununua ndege 20 wao wanaweza kununua 5 tu! Hujafikia kwamba idadi ya watanzania ni 60mil. while E.Guinea ni 1.7mil? Ukichukua Pato lote ukaenda kununua ndege, matumizi mengine/huduma kwa watu 60 mil. nani atakulipia?- mishahara, madawa, ujenzi, kulipa wakandarasi/madeni nk.
Kwa hiyo wewe unaelewa kuliko IMF? Unaijua GDP lakini? Hicho ulichoweka wewe ndio Kipimo.cha Ukubwa wa Uchumi?
Sijui kuliko IMF, ila najua kuliko wewe. Kama hujaelewa nilchoandika achana nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…