Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Zamani mavitu yalikuwa yanakwenda kwenda tu. Ajira njenje, ukiwa na shahada una uhakika na uwaziri.

Unakuta nchi nzima wenye shahada hawakufika 50 kwa mfano, so vitu kama hivyo lazima vitokee.

Mimi huwa nasema kuna wakati mtu fulani ni fulani kwa sababu ya wakati.

Huenda Nyerere angezaliwa leo sanasana angekuwa mwalimu mkuu wa shule fulani kijiji fulani huko.
 
Hiyo ni kimantiki tu sio kiuhalisia.

Anyway, kwenye siasa hakunaga uhalisia.
 
Kuna kitu umenena na bado hawatakuelewa
 
Brother listen...not listening
I have ...not I has
 
Hahahahahajajj sijui kingereza lkn wewe hujui kbsaaa [emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nyerere ni mnufaika wa katiba, unaweza kata mkono unaokulisha? Huwezi ila unaweza kukosoa kuwa vidole vyake vina kucha ndefu. Hivi ndivyo ilivyokuwa na ndivyo inavyoendelea.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Ulipomchagua JPM ulimchagua Samia. Katiba ipo wazi katika hili, Makamu ni mbadala wa Rais.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…