Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

Pole sana kwa kuteswa na uwepo wa mama Samia, The Mother of Modern Tanzania. Kwa kukuhabarisha tu ni kuwa mama yupo na ataendelea kuwepo hadi 2030 hivyo endelea tu kuumia!!
 
Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Kuna kitu Cha ziada katika familia Yao ndiyo sababu Mungu alimwezesha kuwa mtu Mkuu pasipo struggle. Is not normal. Mzazi wake alimtoa akamtumikie Mungu kama Shekh, basi ndipo Mungu aliona moyo wake huo uliokuwa wa dhati akaamua kumbariki.
 
Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Si lazima kila mgombea u-Rais aanze na ubunge, haya ni mazoea tu ya hivi karibuni!
 
Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Huoni hata aibu kutoa posti kama hii. Kunywa maji ukalale.
 
Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Alikuwa waziri akajiuzuru akarudi tena mfumoni hadi kuwa Rais
 
Duuu!!! Hiiiii!! Sijaelewa aliyeelewa anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…