Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Umewahi kufanya biashara halali? Kama ungekuwa umewahi ungejua TRA ni watoza ushuru sio wakusanya kodi
 
Wewe huelewa wako ni mdogo. TRA barua hawakuipeleka kwenye kampuni Bali waliituma kwa email ya mbowe ambaye alikuwa jela. Sasa hao wahasibu watajuaje Kama kampuni inadaiwa?
 
Wala.hawakuwa TRA alianzisha TRA TISS .walikuwa wanafuatilia watu na kuwanyanganya hela kwa kisingizio cha kodi
 
Umeandika bila aibu, waandamizi wanasema kuna ukiukwaji wa kutumia manguvu bila akili kwenye Kodi ikapelekea watu kufungiwa na kufunga biashara, Sasa wewe ndio uliyetumika kuwadhuru watu?
 
Sema hata Mo tulivyomteka. Siyo alivyotekwa. Uwezi kujiepusha na DHAMBI za Magufuli ulizishiriki kwa mikono miwili.
 
Umeandika bila aibu, waandamizi wanasema kuna ukiukwaji wa kutumia manguvu bila akili kwenye Kodi ikapelekea watu kufungiwa na kufunga biashara, Sasa wewe ndio uliyetumika kuwadhuru watu?
Mkuu huyo Ni mmoja wa washiriki wa DHAMBI za dhulma za watu na uonezi
 
Reactions: BAK
Hata mama naye ni muongo
 
Mo alitekwa kwa Siku ngapi Bwashee, na alipigwa sh ngapi akaachiwa Bwashee?,
Mbowe ye alikaa magereza kabisa.

Kaa kwa utulivu Bwashee, Mo nae atafunguka kwa kuwa mwendazake hayupo tena watu wamekuwa huru.
 
Mkuu kama nimemsikia vzr Mbowe anasema taarifa zilitumwa kwenye email ambayo yeye nadhani ndio ana password kitu ambacho akiwa segerea asingeweza kusoma hiyo email
Hii inawezekana ilikuwa exceptional maana kwa uzoefu wangu TRA lazima walete barua pia hardcopy. Hata wakipanga kufanya audit lazima walete hardcopy na documents watakazohitaji kwenye audit.
 
Mbowe awe na mhasibu au asiwe na mhasibu, kwanini TRA watume barua pepe aliwa gerezani badala ya kupeleka madai yao kwa physical address ???
 
Hii inawezekana ilikuwa exceptional maana kwa uzoefu wangu TRA lazima walete barua pia hardcopy. Hata wakipanga kufanya audit lazima walete hardcopy na documents watakazohitaji kwenye audit.
Inshort TRA walifanya makusudi kutumia email ili Mbowe asisome hayo madai feki kwasababu walijua hawezi kusoma email akiwa gerezani
 
Hii inawezekana ilikuwa exceptional maana kwa uzoefu wangu TRA lazima walete barua pia hardcopy. Hata wakipanga kufanya audit lazima walete hardcopy na documents watakazohitaji kwenye audit.
Ilikuwa ni mpango mzima wa kumhujumu. Achana na mambo ya hardcopy. System ikiamua kumhujumu mtu huwa haifuati utaratibu. Acha kutetea waovu mkuu. Tulifikishwa mbali sana., Ila Mungu ni mwema.

JESUS IS LORD.
 
Bila Kiki siasa za Tanzania hutoboi ko kumwona hvo mbowe Yan n Kama walvo wanasiasa wengne
 
Ilikuwa ni mpango mzima wa kumhujumu. Achana na mambo ya hardcopy. System ikiamua kumhujumu mtu huwa haifuati utaratibu. Acha kutetea waovu mkuu. Tulifikishwa mbali sana., Ila Mungu ni mwema.

JESUS IS LORD.
Soma statement yangu vizuri hamna utetezi I have based on fact....usiwe unaconclude issue ilhali hujui mchangiaji anafikiria nini. Nadhani ndio maana kuwa Great thinker - contribute but respect others viewpoints and don't be aggressive ikiwa hawajaandika unachotaka kuona.
 
Alichoongea Mbowe kinaconfirm alichosema mama kuwa TRA ilikuwa inanynyasa wafanya biashara na kufunga akaunti zao na kuchukua pesa zao. Tatizo naona ni kwa vile kasema Mbowe. Ila katuhakikishia kuwa mama hakuwa muongo kasema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…