Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

John the Baptist ni wale wale- anatetea bila utafiti! Hajafikiwa na mikasa kama hii! TRA wakitaka na wanataka kupiga hela, wanamtafuta mmiliki wa kampuni (Managing/Executive Director) na hawataki Auditors/Accountants, wanakuita kwenda kwenye majadiliano- kabla ya majadiliano watakutumia taarifa refu yenye mahesabu kichaa, wanakupa siku 30 uzisome- bila shaka utakuwa umepata fursa ya kujadiliana na watalaam wako. Kisha utawajibu kwa maandishi na wao watakuita kwenye kikao KAMA MMILIKI! Hapo utachezewa kimahesabu na vijana wadogo, mwisho watakupa barua nyingine ' Notice of Discussion' ambayo itabidi usaini wewe na watu wao watatu! Kwa Mbowe - walimwandikia yeye binafsi akiwa jela na mambo mengi hayakuwezekana! Wizi tu! Sasa John hawezi kuona hili???? Ondoa hizo pamba masikioni John!
Umempa za USO John,hapa kukujibu mpaka akamuulize Mzee mgaya pale kwenye hardware yake.
 
TRA hawawezi kufanya huo ujinga kwa mfanyabiashara mkongwe kama Freeman Mbowe mwenye kampuni zaidi ya moja.

Hizo ni siasa nyepesi kwa nyie Bavicha!
...Mkuu mbona wewe ndio unawasemea TRA....mbona wao hawajakanusha kama walituma ujumbe wa kodi kwa email binafsi ya Mbowe....tulichosikia Kayombo kasema tu kama Mbowe alionewa apeleke malalamiko TRA..lakini hajakanusha madai ya Mbowe!
 
Pumbavu hukusikia kuwa walituma Email kwenye account yake?
Hivi unafikiri wangetuma hiyo barua ofisisni wasingejibiwa na ofisi?
by the way kwanini tunashindwa kutofautisha biashara(kampuni) na mtu binafsi ?
TRA wanaitoa wapi Email binafsy Mbowe? Msitake kutuona sie wajinga jamani..!! Kule TRA kuna contacf za kila mfanyabiashara, na mfanyabiashara mwenyewe ndo huwa anazipeleka sasa kama aliweka Email yake binafsi unategemea wangetuma wapi? Shida inakuja ye mwenyewe ni mbinafsi huyo Mbowe ata pale Ufipa pesa haitoki bila yeye, ata ao wahasibu hawaamini kawaweka kama geresha tu ila one man show.
 
Daah hii yote ni Kum prove wrong tu muhisika 🤣🤣 nadhan ungewatafuta waliompelekea barud akiwa gerezani ili waseme kwann hawakupeleka hiyo barua kwa mhasibu wake mpaka wasubiri majibu majibu ya mtu akiwa gerezani
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Wana "trepu" in jiwe voice.

Email binafsi ya Mbowe hata wewe ukitaka unaweza kuipata ila waliomsulubu hawawezi kuwa TRA peke yake , ni "task force"!
TRA wanaitoa wapi Email binafsy Mbowe? Msitake kutuona sie wajinga jamani..!! Kule TRA kuna contacf za kila mfanyabiashara, na mfanyabiashara mwenyewe ndo huwa anazipeleka sasa kama aliweka Email yake binafsi unategemea wangetuma wapi? Shida inakuja ye mwenyewe ni mbinafsi huyo Mbowe ata pale Ufipa pesa haitoki bila yeye, ata ao wahasibu hawaamini kawaweka kama geresha tu ila one man show.
 
Jamani mbona Mbowe kaweka clear kabisa hilo!!!?
It was strategically kuforwad barua kwenye email binafsi badala ya ile ya kampuni,na ulikuwa ni mpango maalum wa kumfilisi.
*Ni kichaa pekee anayeweza kutuma email kwa mtu ambayo Tanzania nzima inajuwa yupo segerea na kukaa kusubiria majibu!!!!!.

*Kama target ilikuwa ni kupata KODI hakuna pahala biashara inafanyika hapa Tanzania (officially) TRA wasijue physicall address.
Wangeenda hapo kwenye biashara yake kuulizia.
 
Mbowe kasema emal ya madai ya kodi TRA waliituma kwenye email yake binafsi akiwa jela. Ina maana walijua hawezi kuiona.

TRA wangekuwa na nia njema ya kudai kodi wangetuma hiyo email kwa kutumia email ya kampuni yake au kwa wasimamizi wa biashara yake. Walimtumia yeye wakijua huko jela hamna access ya yy kuona hiyo email.

Uovu wa serikali ya magufuli ulikuwa kama wa shetani

Sisi tunaendelea kumshukuru Mungu. Kazi yake haina makosa
Mungu kaona mfalme hafai kamwondoa amos 9.8
 
Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akaambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa ikapangika. Sasa katika mazingira hayo huyo Muhasibu wa kazi gani?
Issue ilikuwa ni extrajudicial halafu mchangia mada anazungumzia mambo ya kisheria ya kwenye nchi zilizostaarabika zinazo obey rule of law! Ajabu hii
 
Mambo mengine tunayaangalia tu.wengine wanatufanya watz wote ni mbumbu.Mbona mengi kafa lkn biashara zinaendelea as if bado Yuko hai.tutafika tu atajulikana mwenye akili na nyumbu ni nani.
 
Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akaambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa ikapangika. Sasa katika mazingira hayo huyo Muhasibu wa kazi gani?
Hizo kampuni zinaendeshwaje yaani hayo makampuni yote managing director ni yy,hrm,dfa,nk vyote ni yeye
 
Biblia. Amosi 9:8
[8]Angalieni, macho ya Bwana MUNGU yanauangalia ufalme wenye dhambi, nami nitauangamiza utoke juu ya uso wa dunia; lakini sitaiangamiza kabisa nyumba ya Yakobo, asema BWANA.

Yametimia.

YESU NI MWOKOZI
 
Angeenda kuwashtaki TRA kwenye mahakama ya biashara.

Labda kama Freeman Mbowe ni individual taxpayer lakini kama anamiliki kampuni hawezi kutumiwa taarifa rasmi za kodi yeye binafsi.

Hata MO Dewji alivyotekwa biashara ziliendelea na kodi zililipwa bwashee!
Usijitoe ufaham wakati unajua nini kilikuwa kinafanyika kipindi marehemu akiwa rais,Mbowe alikuwa anaumizwa kisiasa sa utamfananisha Mbowe na Mo hao wanaposition tofauti. nadhan hakukuwa na tofauti na kikundi cha Mafia cha Italy enzi hizo,ulikuwa unafanyika Ugaidi wa hali ya juu kuwajengea watu hofu.
 
Hizo kampuni zinaendeshwaje yaani hayo makampuni yote managing director ni yy,hrm,dfa,nk vyote ni yeye
kwa nini watume e-mail ya binafsi badala ya kampuni ilikuwa hila ovu hiyo mbona mama kasema tu wakafungua watapike hela zake zotee
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu Mbowe ni kuonewa tu. Alikaa kwenye nyumba ya NHC zaidi ya miaka 10 bila kulipa kodi. Alipofukuzwa ndani ya nyumba akasema kaonewa. Halafu kuonewa huku kunaelezwa waandishi wa habari sio mashtaka polisi au mahakamani
 
Sasa hayo ya NHC unayajua wewe. Hapa tunaongelea hujuma dhidi yake kupitia TRA. kuibiwa hela zake kwenye acc na kufungiwa acc.

YESU ANAOKOA
 
Ni makanjanja kwa sababu huwezi kumtumia mtu binafsi makadirio ya kampuni labda kama mtu huyo anafanya biashara binafsi ya bar!
Makanjanja wana uwezo wa kufunga accounts na kukomba hela zote halafu wanamfungulia kisha wanamwambia njoo tuone?
Wako vizuri sana.
 
Kama ni kweli kwanini hawaulizi hao TRA ? Kwanini analialia kwenye media? Cheap politics.
Labda aliwauliza,ila pale amezungumzia kilichotokea,Samia naye anapolalamikia utendaji mbovu wa tra naye anafanya cheap politics?
 
Back
Top Bottom