Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

Hela analipwa mganga kwanza ndugu.We unafikiri majini wanahudumiwa na nini eti Kalpana dogo hajui timu utopolo inaendeshwaje
Wacha tuwaangalie tuu..kikosi chao kipana mnoo...kuna benchi la ufundi pia hapo including waganga wabobevu...majini...na kila aina ya kamati ndogo ndogo...mwaka huu wameinvest sana kwny kamati ndogo ndogo hela zimewaishia... 🀣 🀣
 
Kumbuka, hata mchezaji alikuwa ni sehemu ya Yanga.
Pia ukumbuke, kukosoa au kutoa mawazo tofauti ni sehemu muhimu katika kujenga. Ninyi mnapochagua kuwa sehemu ya kusifia, basi mtambue kuna watu muhimu wapo upande wa kuimarisha kupitia mawazo yao au ukosoaji.
 
NAUNGA MKONO HOJA
 
Wacha tuwaangalie tuu..kikosi chao kipana mnoo...kuna benchi la ufundi pia hapo including waganga wabobevu...majini...na kila aina ya kamati ndogo ndogo...mwaka huu wameinvest sana kwny kamati ndogo ndogo hela zimewaishia... 🀣 🀣
Ila Simba kaniumiza this time Naona kijana wangu atakimbilia yanga.Kila nikitoka nae kucheki mpira anarudi tumefungwa so inabidi nitumie gharama kununua toys
 
NAUNGA MKONO HOJA YAKO
 
Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Sasa kama hela hawana? Kwa unavyofikiria Pesa ingekuwepo wangeacha kulipa na ikiwa FIFA waliwapa notes ya siku 45 kufanya hivyo? Tusiwe tunalaumu kila jambo jamani huu sio uungwana.... Ali kamwe anasema kama unalalamika na huna kadi ya uanachama au unayo alafu hulipii basi wewe ndio wa kulaumiwa kwa yanga kufungiwa.
UKWELI MCHUNGU KUMEZA NA MTAMU KUUTEMA........
 
HIYO MIKATABA WANAYOISAINI NI HEWA
 
HIYO MIKATABA WANAYOISAINI NI HEWA
Kaa jua kuwa mpira ni biashara, Mo analalamika hasara lakini GSM ametulia tu mnamsifia hahaha hakuna mwekezaji anayeweza fanya biashara ya kichaa watu lazima wajilipe kubalance vitabu.....

WEWE KUWEZA?
 
Yanga ina majukumu mengi
Na vipaumbele
Kuna cha kuanza nacho na kumalizia, nadhani hawapati hela ya kuyatimiza kwa pamoja kutokana na mashabiki wengi kutokwajibika kulipia kadi na kununua bidhaa za yanga
Sio kwamba ati pesa zipo account eti wamegoma
 
Timu ina madeni kwenye taasisi za fedha. Kuendesha klabu ya mpira ni gharama kubwa sana pesa za wadhamini zinaweza zisitoshe, lakini hata ivyo viongozi waache ubabaishaji wanatakiwa kuwalipa wachezaji hayo madeni
 
Timu ina madeni kwenye taasisi za fedha. Kuendesha klabu ya mpira ni gharama kubwa sana pesa za wadhamini zinaweza zisitoshe, lakini hata ivyo viongozi waache ubabaishaji wanatakiwa kuwalipa wachezaji hayo madeni
kweli mkuu
 
Hakuna taasisi isiyodaiwa
Madeni ni kitu ya kawaida
Ukisoma club kubwa kama Madrid, man u, Inter Milan, n.k
Tena Yanga ina madeni machache
Siunawaona wanaogopa kudaiwa wamemg'ang'ania flop kama Miquison, saidoo, jobe nk
Watu mnashindwa kuongea bila kuzidisha maneno. Habari inaihusu Yanga na makandokando yake wewe unaleta habari za Simba. Huyo Jobe si amesajiliwa dirisha dogo lililopita, sasa Simba inamng'ang'ania kivipi kwa sababu ya madeni? Huyo Saidoo si mkataba wake ulishaisha dirisha dogo lililopita, sasa anang'ang'aniwa kivipi kwa sababu ya madeni?

Simba madirisha mawili yaliyopita imeacha wangapi ambao ilikaa nao kwa muda mfupi, umesikia habari za kufungiwa na FIFA kwa sababu yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…