Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
HahaahahaaUliahidi iliyopo clear....unafanya nisubscribe Uzi, lakini wapi sioni kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahaaUliahidi iliyopo clear....unafanya nisubscribe Uzi, lakini wapi sioni kitu
Wacha tuwaangalie tuu..kikosi chao kipana mnoo...kuna benchi la ufundi pia hapo including waganga wabobevu...majini...na kila aina ya kamati ndogo ndogo...mwaka huu wameinvest sana kwny kamati ndogo ndogo hela zimewaishia... 🤣 🤣Hela analipwa mganga kwanza ndugu.We unafikiri majini wanahudumiwa na nini eti Kalpana dogo hajui timu utopolo inaendeshwaje
Kumbuka, hata mchezaji alikuwa ni sehemu ya Yanga.Acheni kuwasakama viongozi baada tu ya mazuri yote waliyoyafanikisha hayo ni mambo madogo madogo ambayo pengine na sisi tunachangia kwa kutolipa ada zetu za uanachama.
Jambo la uhakika wakiulizwa wanafamilia mnaowangoza watasema nanyi mna ubabaishaji mkubwa ila wanakosa namna ya kuchukua nafasi zenu kwa kuwa mlipewa na Mamlaka kuu hadi itakapotengua nyazifa zenu.
NAUNGA MKONO HOJANo, hii haipo sawa. Madeni yawepo lakini si kwa gharama ya wachezaji.
Hao wachezaji wana mcjango mkubwa sana kwenye branding ya club. Hili la timu kdaiwa na wachezaji wake, linaweza likakimbiza wadhamuni. Mdhsmini anakuwa ni sehemu ya club, club inappfanikiwa mdhamini naye hutambuliwa na kushukuliwa. Sidhani kama kuna mdhamini atakayependa kuwa sehemu ya wachezaji kudhurumia.
Ila Simba kaniumiza this time Naona kijana wangu atakimbilia yanga.Kila nikitoka nae kucheki mpira anarudi tumefungwa so inabidi nitumie gharama kununua toysWacha tuwaangalie tuu..kikosi chao kipana mnoo...kuna benchi la ufundi pia hapo including waganga wabobevu...majini...na kila aina ya kamati ndogo ndogo...mwaka huu wameinvest sana kwny kamati ndogo ndogo hela zimewaishia... 🤣 🤣
NAUNGA MKONO HOJA YAKOAziz Ki is a long gone story, here in between Yanga imepata mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, mafanikio ambayo pia yame reflect account ya club.
Swali ni kwanini mchezaji asilipwe madai yake hadi kuifikisha image ya timu kuanza kuwekwa in brackes?
Kati ya vitu ambavyo wanachama na mashabiki tunahesabu kuwa ni mafanikio, ni pamoja na haki na maslahi ya wachezaji waliopo na waliopita yanapozingatiwa.
Narudia, hakuna mfadhali anayependa kuwa sehemu ya ukandamizaji wa wachezaji.
JIKITE KWENYE HOJA SIYO MABANGO YA TAARABU
Sasa kama hela hawana? Kwa unavyofikiria Pesa ingekuwepo wangeacha kulipa na ikiwa FIFA waliwapa notes ya siku 45 kufanya hivyo? Tusiwe tunalaumu kila jambo jamani huu sio uungwana.... Ali kamwe anasema kama unalalamika na huna kadi ya uanachama au unayo alafu hulipii basi wewe ndio wa kulaumiwa kwa yanga kufungiwa.Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
HIYO MIKATABA WANAYOISAINI NI HEWASasa kama hela hawana? Kwa unavyofikiria Pesa ingekuwepo wangeacha kulipa na ikiwa FIFA waliwapa notes ya siku 45 kufanya hivyo? Tusiwe tunalaumu kila jambo jamani huu sio uungwana.... Ali kamwe anasema kama unalalamika na huna kadi ya uanachama au unayo alafu hulipii basi wewe ndio wa kulaumiwa kwa yanga kufungiwa.
UKWELI MCHUNGU KUMEZA NA MTAMU KUUTEMA........
Kaa jua kuwa mpira ni biashara, Mo analalamika hasara lakini GSM ametulia tu mnamsifia hahaha hakuna mwekezaji anayeweza fanya biashara ya kichaa watu lazima wajilipe kubalance vitabu.....HIYO MIKATABA WANAYOISAINI NI HEWA
Yanga ina majukumu mengiAziz Ki is a long gone story, here in between Yanga imepata mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, mafanikio ambayo pia yame reflect account ya club.
Swali ni kwanini mchezaji asilipwe madai yake hadi kuifikisha image ya timu kuanza kuwekwa in brackes?
Kati ya vitu ambavyo wanachama na mashabiki tunahesabu kuwa ni mafanikio, ni pamoja na haki na maslahi ya wachezaji waliopo na waliopita yanapozingatiwa.
Narudia, hakuna mfadhali anayependa kuwa sehemu ya ukandamizaji wa wachezaji.
Timu ina madeni kwenye taasisi za fedha. Kuendesha klabu ya mpira ni gharama kubwa sana pesa za wadhamini zinaweza zisitoshe, lakini hata ivyo viongozi waache ubabaishaji wanatakiwa kuwalipa wachezaji hayo madeninimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha
SWALI LANGU: ina maana mikataba wanayosaini yanga sc ni mikataba feki au ni ya laki laki anbayo haikidhi na haiwezi kukusanya pesa za kutosha na kumlipa kambole??
😀😀😀😀Ndio hiyo iliyoleta kina Pacome, Yao Yao, Max etc.
Kambore atalipwa, awe mvumilivu kidogo.
kweli mkuuTimu ina madeni kwenye taasisi za fedha. Kuendesha klabu ya mpira ni gharama kubwa sana pesa za wadhamini zinaweza zisitoshe, lakini hata ivyo viongozi waache ubabaishaji wanatakiwa kuwalipa wachezaji hayo madeni
Watu mnashindwa kuongea bila kuzidisha maneno. Habari inaihusu Yanga na makandokando yake wewe unaleta habari za Simba. Huyo Jobe si amesajiliwa dirisha dogo lililopita, sasa Simba inamng'ang'ania kivipi kwa sababu ya madeni? Huyo Saidoo si mkataba wake ulishaisha dirisha dogo lililopita, sasa anang'ang'aniwa kivipi kwa sababu ya madeni?Hakuna taasisi isiyodaiwa
Madeni ni kitu ya kawaida
Ukisoma club kubwa kama Madrid, man u, Inter Milan, n.k
Tena Yanga ina madeni machache
Siunawaona wanaogopa kudaiwa wamemg'ang'ania flop kama Miquison, saidoo, jobe nk
Huyu. Ndio juzi alisema ataenda kuwachangisha pesa kwa ajili ya simba