Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Nakumbuka JK alizunduaga kampeni ya upimaji VVU kitaifa pale Mnazi Mmoja.Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa?
Na Pia kumbuka hata barakoa alikuwa havai. Alikuwa anapuyanga tu huku na huko bila chanjo wala tahadhari yoyote ile!
Mara yupo Kariakoo…mara Mbagara [Mbagala]…mara Morogoro…Mwanza…Zanzibar…Nairobi na kwingineko huko.
Kote huko alikuwa anahutubia umati.
Very reckless behavior!
Unless labda alikuwa tayari keshachanjwa na hiyo keshokutwa kutakuwepo na ‘maonyesho’ tu ya kuwa anachanjwa na atachanjwa na dawa feki.
Otherwise, how does one explain her unseriousness?
Tulipiga sana gambe.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app