EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hayo maonesho tu.
Na hatushawishiki!!!!
Na hatushawishiki!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maonesho tu.
Na hatushawishiki!!!!
Kwa hiyo marehemu mwendazake alikosa umakini (u-seriousness) kuzuia chanjo?
Mbona mnaanza kumtusi JPM.
Viongozi wengi serikalini walishachanja. Tena wengine walichanja kipindi Magufuli akiwa hai. Ndiyo maana ulisikia siku moja akasema kuna watu wamekwenda nje kuchanja na wameleta korona ya ajabu kabisa. Mtu kama Ndugai unafikiri atakuwa hajachanja? Au Kikwete. Hata mama mimi nahisi alishachanja. Kinachofanyika ni maigizo tu. Hakuna watu wenye kuuelewa huu ugonjwa wa korona kama viongozi walioko serikalini. Wengi wanjua idadi halisi ya watu walifariki. Wengi wanajua kutokana na shughuli zao ni rahisi kuambukizwa.Kwani wewe hii mada yangu imekuumiza?
Chanjo za balozi zilikuja siku nyingi hata Lipumba kasema amepata kwenye hospitali ya baloziniNdio sijaelewa, kama Rais anazindua tarehe 28 mbona ye kishachoma, kapata wapi, au Rais nae kishachoma hiyo 28 ni igizo....hata sijui.
Mkuu chanjo si imekuja juzi tu au angependa kuchanja ulaya?Corona imeanza lini?
Viongozi wengi serikalini walishachanja. Tena wengine walichanja kipindi Magufuli akiwa hai. Ndiyo maana ulisikia siku moja akasema kuna watu wamekwenda nje kuchanja na wameleta korona ya ajabu kabisa. Mtu kama Ndugai unafikiri atakuwa hajachanja? Au Kikwete. Hata mama mimi nahisi alishachanja. Kinachofanyika ni maigizo tu. Hakuna watu wenye kuuelewa huu ugonjwa wa korona kama viongozi walioko serikalini. Wengi wanjua idadi halisi ya watu walifariki. Wengi wanajua kutokana na shughuli zao ni rahisi kuambukizwa.
😁😁😁 Labda anachanjwa water for injection.Akichanjwa tu tutegemee kumfukia maana hizi chanjo kwa watu walioenda umri zinalala nao mbele.
Mko kama wachawi . Mmekuwa wasemaji wa watu wengine.Hamna kitu hapo ni danganya toto. Wanachanjwa dawa zingine kuhamasisha uma chanjo. Hakuna rais achome hayo madude. Hata huko Ulaya mbele ya camera inaonesha amechanjwa covid ila ki uhalisia kachoma hizi dawa za kawaida
Ni kutimiza tu masharti.
jamani ni Johnson and Johnson pekee ambayo ukichanjwa hurudii kuchanjwa, lakin zingine zote unarudia booster baada ya siku 21 au 28! kwa hiyo mambo ni mengi muda ni mchache 😎Hata mimi nilidhani rais atakua tayari alisha chanjwa.
jamani ni Johnson and Johnson pekee ambayo ukichanjwa hurudii kuchanjwa, lakin zingine zote unarudia booster baada ya siku 21 au 28! kwa hiyo mambo ni mengi muda ni mchache 😎
Ndugu yangu, mimi mwenyewe ni mzungu wa reli kuhusu chanjo. ila niliona mahali kuwa chanjo zipo za aina mbili. kuna zingine unachanjwa mara moja na zingine unarudia, ndiyo maana nikatoa hilo dukuduku. Suala la chanjo limekuwa burudani na linafikirisha sana! Kazi iendelee!Wazungu ndio wanao pendelea kuchanjwa mara nyingi hadi mara tatu tatu. Bali hizi nzuri zenye nguvu na bora sana za JJ za kuchanjwa mara moja tu wakaamua wawaletee nyie wapendwa sana wao.
Wachanjeni JJ waswahili hawa wasio jua hili au lile lakini muwe mmejiandaa vizuri kuwakinga na madhara ya hii chanjo. Sijui kama kuna ubishi kuhusu madhara yatokanayo na kuchanjwa kwa JJ.
Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa?
Na Pia kumbuka hata barakoa alikuwa havai. Alikuwa anapuyanga tu huku na huko bila chanjo wala tahadhari yoyote ile!
Mara yupo Kariakoo…mara Mbagara [Mbagala]…mara Morogoro…Mwanza…Zanzibar…Nairobi na kwingineko huko.
Kote huko alikuwa anahutubia umati.
Very reckless behavior!
Unless labda alikuwa tayari keshachanjwa na hiyo keshokutwa kutakuwepo na ‘maonyesho’ tu ya kuwa anachanjwa na atachanjwa na dawa feki.
Otherwise, how does one explain her unseriousness?
Ah wapi hayo madude staki kusikia.huku kuna upuuzi mwingi bora nyie huko kwenu. ifikapo mwezi wa 9 corona itaenda likizo. Tutapumua kidogo baada ya muda tena itarudi.Ma Mkubwa we utachanjwa?
Kwani Mecco alichanjwa?Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa?
Na Pia kumbuka hata barakoa alikuwa havai. Alikuwa anapuyanga tu huku na huko bila chanjo wala tahadhari yoyote ile!
Mara yupo Kariakoo…mara Mbagara [Mbagala]…mara Morogoro…Mwanza…Zanzibar…Nairobi na kwingineko huko.
Kote huko alikuwa anahutubia umati.
Very reckless behavior!
Unless labda alikuwa tayari keshachanjwa na hiyo keshokutwa kutakuwepo na ‘maonyesho’ tu ya kuwa anachanjwa na atachanjwa na dawa feki.
Otherwise, how does one explain her unseriousness?
Huyo ni sukuma gang hivyo lazima aonyeshe hisia zakeKwani wewe unaumia kwa kutokuchanjwa kwake?
Sukuma gang kazini wewe na Gwajima mpo kwenye kapu mojaKwani wewe hii mada yangu imekuumiza?
Museveni kachanja lkn bado yupo anakula bata wake .Akichanjwa tu tutegemee kumfukia maana hizi chanjo kwa watu walioenda umri zinalala nao mbele.