Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona imeanza lini?
Khee! Kaipatia wapi hiyo chanjo?
Kakudanganya nani hajachanja!Bi. Mkubwa alikuwa anazurura tu huku na huko bila kinga?
Labda kama alikuwa anapiga nyungu.
Ukiachana na issue ya Mbowe ambaye ameonesha direct dissobidience to a 'presidential decree' kuna lingine lipi???Reforms za mbowe kukamatwa kwa ugaidi?!
Niwe mkweli, kwasasa hatuna rais bali tuna rahisi, hii nchi itachezewa sana...mfano mzuri uropokaji wa wazi umeanza hebu tuone kama atakemea kauli za akina Gwajiboy.Kwani wewe hii mada yangu imekuumiza?
Kesho kuna watu watasutwa 🤣. We subiri tu…utaona!Niwe mkweli, kwasasa hatuna rais bali tuna rahisi, hii nchi itachezewa sana...mfano mzuri uropokaji wa wazi umeanza hebu tuone kama atakemea kauli za akina Gwajiboy.
Hamaanishi hata kidogo ktk vita dhidi ya corona.
Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa?
Na Pia kumbuka hata barakoa alikuwa havai. Alikuwa anapuyanga tu huku na huko bila chanjo wala tahadhari yoyote ile!
Mara yupo Kariakoo…mara Mbagara [Mbagala]…mara Morogoro…Mwanza…Zanzibar…Nairobi na kwingineko huko.
Kote huko alikuwa anahutubia umati.
Very reckless behavior!
Unless labda alikuwa tayari keshachanjwa na hiyo keshokutwa kutakuwepo na ‘maonyesho’ tu ya kuwa anachanjwa na atachanjwa na dawa feki.
Otherwise, how does one explain her unseriousness?
Pole sana, kwa kudungwa...Kwa hiyo siyo kwamba nimechanjwa kisa ninaogopa corona. Nimechanjwa kuepuka usumbufu tu maana nyumbani watoto lazima wale na waende shule!
Nikiacha kazi wewe utanilipia ada za watoto shule?
NAKAZIA.Usiwaamini Wana Siasa.
Huelewi!
Ndiyo, chanjo ni hiari. Hakuna mtu anayewekewa mtutu wa bunduki kumlazimisha achanje.
Lakini pia, mtu inategemea na unafanya shughuli gani maishani mwako.
Waajiri wengi sasa hivi wanawataka waajiriwa wao wachanjwe. Ila hawakulazimishi.
Kama hulipendi hilo takwa lao, basi, acha kazi hapo, nenda kwingine.
Mimi nimechanja kwa sababu ya convenience. Kazi yangu inanisafirisha sana.
Chanjo yenyewe ni bure. Wala sijadhurika kwa namna yoyote ile.
Kwa hiyo siyo kwamba nimechanjwa kisa ninaogopa corona. Nimechanjwa kuepuka usumbufu tu maana nyumbani watoto lazima wale na waende shule!
Nikiacha kazi wewe utanilipia ada za watoto shule?
Mixed feelingsHuelewi!