#COVID19 Ina maana muda wote huu Rais alikuwa hajachanjwa?

Nakumbuka JK alizunduaga kampeni ya upimaji VVU kitaifa pale Mnazi Mmoja.
Tulipiga sana gambe.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ila chanjo kwa hapa kwetu Tanzania si hiari sio lazima,so kama ni ivyo basi mama anachanja kwa hiari yake
 
Madakitari wajitokeze kwenye midaharo kuhusu corona wananchi wawaulize maswali na wayajibu sio kuongelea uchochoroni tu ....mjibuni ngwajima maswali yake mbona mnamkwepa?
 
Aya ya pili kutoka mwisho hitimisho lake ni zito. Kesho wazee wa kuzoom picha na video na mwendo wa kuona kama kwenye bomba la sindano[emoji382]dawa inatembea au haitembei, je rangi ya chanjo ndio ile ile ya Johnson & Johnson au nk nk

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ila chanjo kwa hapa kwetu Tanzania si hiari sio lazima,so kama ni ivyo basi mama anachanja kwa hiari yake
Ni yeye na maisha yake, afya yako mlinzi wake ni wewe mwenyewe ingawa unaweza ingizwa mjini. Nafikiri baada ya kuchanjwa ndio sasa ataanza kupuyanga rasmi nje ya nchi akijiachia kutafuta wawekezaji.
Mchuma Janga hula na wakwao.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
I’m confused 🤔.

Ati waziri wa afya kasemaje?
 
Madakitari wajitokeze kwenye midaharo kuhusu corona wananchi wawaulize maswali na wayajibu sio kuongelea uchochoroni tu ....mjibuni ngwajima maswali yake mbona mnamkwepa?
Mjibuni maswali yake askofu ngwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…