Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

Baba na mama unawaona kabisa unakua nao unajua huyu baba na uyu ni mama kwani mtoto mchanga anaminishwa kwamba uyu ni mama yake 🤔? . Swala la uwepo wa MUNGU ni Imani Wala hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa MUNGU yupo ama hayupo.
Unaaminishwa na unaamini hawa ni wazazi wako!!. Hata kama Hospital walibadilisha watoto, au ulikuwa adopted .
Wenye kuamini MUNGU YUPO TENA YU HAI msingi ni huo huo.

Wakatoliki tunatumia neno la Kilatini "AMATE"
 
Nina miaka minane Sasa toka nitoke kwenye ujinga mkubwa wa misamiati mungu shetani na malaika najiona mwepesi siku hizi vilinipotezea muda sana niseme tu kwamba kama Bado unatumia hiyo misamiati wewe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana hatakama unaelimu ya juu kiasi gani mungu mwenyewe anaitwa wa Ibrahim Isaka na Yakobo afu unakuta mjinga mmoja anataka hadi kupigana kwa ajili ya stori za kubuni jamani
 
Unaaminishwa na unaamini hawa ni wazazi wako!!. Hata kama Hospital walibadilisha watoto, au ulikuwa adopted .
Wenye kuamini MUNGU YUPO TENA YU HAI msingi ni huo huo.

Wakatoliki tunatumia neno la Kilatini "AMATE"
Bora qliyeaminishwa mzazi wake mana anaonekana Kwa macho ila MUNGU hakuna aliyemuuona Hakuna uhakika Bali kuamini yupo apo ni Imani tu Wala hakuna wa kuthibitisha . We ungezaliwa India ungekuwa mhindu ungewajua MUNGU wawil tu MUNGU vishna na MUNGU krishna
 
Back
Top Bottom