Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

I FULLY AGREE WITH YOU.
 
hapo mwigulu hutamsikia kamwe!!! na waandishi wetu hutamsikia hata mmoja akihiji hili
 
Mawazo yako ni ya mtu aliye kata tamaa! Dua la kuku...
 
Ha ha ha ha yule alikuwa muhuni tu,tunaendelea kumtafuta
 
Yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Muache kuweweseka,kila siku jamaa aliemtolea nape bastola,hamuweki picha wala jina
Tuwekee picha yake siku anatoa bastola tulinganishe na ya leo,
 
Mbona hujaweka picha ya unavyodai tujionee wenyewe.. endeleeni kudanganyana tu..
Damu ya mwanadamu aliyezaliwa kutokana na muunganiko wa Baba na Mama huwa inalia kwa sauti sana,refer to Habili na Kaini...,Mungu alimwambia Kaini "nasikia damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini" kwa maana hyo ukimwaga damu ya m2 asiye na hatia mabara yote,nchi zote,makanisa yote,misikiti yote itajua
Hao wanaouawa,kuteswa na hata kulawitiwa damu zao huenda kwenye uso wa ardhi na kuanza kulia na Mungu huvipokea vilio hivyo na kutoa hukumu!
 
Kwani da mange anasemaje?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
*About the villainous king Geoffrey of game of thrones*,
The guy does not have roots, he's a type of person who people with fear follows, he does not inspire deep rooted loyalty, and he does not have charisma and wit and smartness to roal people into his cause, people obey the chair he sits on, which means his power is not durable if opposed wisely by smarter opposition,
He is a kind of king who undoes his own throne by attacking his own people, he is so paranoid that after doing away with his named opponents, he will turn to the very hands that serves him and carry him...
He is his kingdom worst leader...
King Geoffrey is a curse to the throne of seven kingdoms indeed, and all those who put him to power get it now..
 
Tetesi tu mapovu fuso![emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Kwanini asitoe kitambulisho, atoe bastora yani ata mtoto wa miaka 7 anakushinda akili
 
Kalale mke wangu,kesho naja kwenu kumalizia posa nikuoe na watoto unizalie...basi nyamaza baby wangu!
utabakia hivyo hivyo kutoelewa unapopelekwa, msafara wa mamba na makenge kama nyie hamkosekani
 
Huyo ndio hao wasiojulikana. ile deckorder ya cctv pale Dodoma ndio mpango mzima.
Sasa simumuachie (matekani) huyo dereva wa Lissu akamtambue? Kwa nini mnaendelea kumficha dereva huyo? Yaani hata mke wake na watoto wake hawajui aliko? Na hawajui kama yu mzima. Polisi wamemsaka kila mahali hawampati. KKKT wala hawajakemea au kuliona hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…