Hiyo sura yake tu imejaa roho na damu za watu.Je mtu huyu ni nani?
![]()
Ningependa kujua huyu mwenye t-shirt ya bluu ni nani.
Asiyejulikana huyu, maana siku zile Mwigulu alikiri kuwa hajulikani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sura yake tu imejaa roho na damu za watu.Je mtu huyu ni nani?
![]()
Ningependa kujua huyu mwenye t-shirt ya bluu ni nani.
Aaah!Umeona huo msuli kwanza?!, achilia mbali sura!! Ni moja ya wasiojulikana
Siku hawa watu wakifa,wapinzani wasitoe pole wala kuhudhuria msiba wao.Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengine
Nchi imewashinda hasira mnamalizia kwa wapinzani.Haya sasa shime makamanda wa mtandaoni fanyeni maandamano kesho mkamtoe Mbowe kutoka korokoroni. Msikae tu na kubonyeza keyboards zenu kwa mwendo kasi.
View attachment 727156duh leo sniper ,,sijui bashite kampa maagizo gani,walimkosa kwenye ujinga wa list ya madawa sijui itakuwaje ha,sniper anaaangalia kwa jicho la machuki na roho nyeusi ya kikolomije kabisa
Aisee
Mhh,lets wait kama kweli ,View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
TUNAZIDI KUKUSANYA USHAHID WA THE HAGUE MKUU!!Kwa mara nyingine tena teknolojia imewaacha uchi CCM na vibaraka wake.
MINA BARIKIWA!MUNGU HAWAACHI WENYE HAKI WAPOTEE!Damu ya mwanadamu aliyezaliwa kutokana na muunganiko wa Baba na Mama huwa inalia kwa sauti sana,refer to Habili na Kaini...,Mungu alimwambia Kaini "nasikia damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini" kwa maana hyo ukimwaga damu ya m2 asiye na hatia mabara yote,nchi zote,makanisa yote,misikiti yote itajua
Hao wanaouawa,kuteswa na hata kulawitiwa damu zao huenda kwenye uso wa ardhi na kuanza kulia na Mungu huvipokea vilio hivyo na kutoa hukumu!
POLE KWA KUMPOTEZEA MAMAAKO NA KUMTESA UJE DUNIAN HUKU UKIWA HIVYO!UMEWAPA SHIDA SANA HALAFU MATOKEO YAKE NDIO HAYOSasa simumuachie (matekani) huyo dereva wa Lissu akamtambue? Kwa nini mnaendelea kumficha dereva huyo? Yaani hata mke wake na watoto wake hawajui aliko? Na hawajui kama yu mzima. Polisi wamemsaka kila mahali hawampati. KKKT wala hawajakemea au kuliona hili.
Kiasi unachunguza watu si ukafanye kazi upate ulaji au na ww ni mmoja wa walio fukuzwa kazi...wabongo bhana. Rudini vijjini mjini hakuna dili mnakalia majungu tuuu huku umri unaenda.View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Kijana tindo upo!Huyo ndio hao wasiojulikana. ile deckorder ya cctv pale Dodoma ndio mpango mzima.
Hahah!! Kinana kumbe una madini kiasi hicho?View attachment 726986
View attachment 726987
View attachment 726988
View attachment 726990
Mambo ya Expansion joint haya
Tupate burudani kidogo kutoka kwa wadhamini
View attachment 726991