Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Je mtu huyu ni nani?

nani-jpg.727129

Ningependa kujua huyu mwenye t-shirt ya bluu ni nani.
Hiyo sura yake tu imejaa roho na damu za watu.

Asiyejulikana huyu, maana siku zile Mwigulu alikiri kuwa hajulikani
 
Huyu ni mjukuu wa faru John. Ila ana genetix za papa - fahali au bullshark kwa kilatini[emoji6] [emoji12] [emoji12]
 
Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengine
Siku hawa watu wakifa,wapinzani wasitoe pole wala kuhudhuria msiba wao.
 
View attachment 727156duh leo sniper ,,sijui bashite kampa maagizo gani,walimkosa kwenye ujinga wa list ya madawa sijui itakuwaje ha,sniper anaaangalia kwa jicho la machuki na roho nyeusi ya kikolomije kabisa

Jicho lake liko makini kwa mbowe

Na huo mkono wa kushoto ni kama alivyo mchomolea nape bastola.

Inaonekana huyu jamaa mkono wake wa kushoto uku active sana
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Mhh,lets wait kama kweli ,
 
MUNGU HUWA HACHEZEWI NA MWANADAM,WAUWAJI NA WATESAJ RAIA WANAANZA KU0NEKANA HADHARANI SASA SUBIRIN MUONE!MBONA 26 SIO MBALI?
 
Si mukamshitaki...au siku hizi hamna mawakili wasomi?
 
A
Damu ya mwanadamu aliyezaliwa kutokana na muunganiko wa Baba na Mama huwa inalia kwa sauti sana,refer to Habili na Kaini...,Mungu alimwambia Kaini "nasikia damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini" kwa maana hyo ukimwaga damu ya m2 asiye na hatia mabara yote,nchi zote,makanisa yote,misikiti yote itajua
Hao wanaouawa,kuteswa na hata kulawitiwa damu zao huenda kwenye uso wa ardhi na kuanza kulia na Mungu huvipokea vilio hivyo na kutoa hukumu!
MINA BARIKIWA!MUNGU HAWAACHI WENYE HAKI WAPOTEE!
 
POLE K
Sasa simumuachie (matekani) huyo dereva wa Lissu akamtambue? Kwa nini mnaendelea kumficha dereva huyo? Yaani hata mke wake na watoto wake hawajui aliko? Na hawajui kama yu mzima. Polisi wamemsaka kila mahali hawampati. KKKT wala hawajakemea au kuliona hili.
POLE KWA KUMPOTEZEA MAMAAKO NA KUMTESA UJE DUNIAN HUKU UKIWA HIVYO!UMEWAPA SHIDA SANA HALAFU MATOKEO YAKE NDIO HAYO
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Kiasi unachunguza watu si ukafanye kazi upate ulaji au na ww ni mmoja wa walio fukuzwa kazi...wabongo bhana. Rudini vijjini mjini hakuna dili mnakalia majungu tuuu huku umri unaenda.
 
Hao inaonekana ni kikundi fulani cha uhalifu hawazidi kumi ndio wapo kwa ajili ya yeyote anaepinga matamko ya Mkulu...ngoja niishie hapa hasira tuu
 
Back
Top Bottom