Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Kabadilika ghafla huyu, sijui masahibu yepi yamemkuta na kuanza kusupport MUOVU.
Freedom of speech,sijabadilika wala nini.Mimi siongonzwi na hisia za vyama kama nyie. So Magufuli akifanya poa namsifia. Mbowe pia akifanya poa namsifia and vice versa.
 
Ww labda tukienda huko umeme uwe umekatika. Na watu wakiniuliza nawaambia ni bibi yangu kaja kwenye tiba taasisi ya Jakaya.
 
Chadema bana...yaani ni rahisi sana nyie kudanganywa...hata ikiwa hivyo hamuoni kuwa ni sawa kwa wakosaji kuwajibishwa?
Tunapenda kila mhalifu awajibishwe ila sio kwa visasi.

Halafu wapi umeona mimi Chadema.?
 
Kama anakabiliwa na tuhuma hizo kwanini asifunguliwe kesi ya aina hiyo????
 
Tuko pamoja humu miaka mingi Victoire, usidhani watu hawakusomi humu na kujua misimamo yako kuhusu maslahi ya nchi yetu. Watu hawakurupuki tu ili kusema umebadilika. Usiwe kama hao waliookotwa majalalani. 😜

Freedom of speech,sijabadilika wala nini.Mimi siongonzwi na hisia za vyama kama nyie. So Magufuli akifanya poa namsifia. Mbowe pia akifanya poa namsifia and vice versa.
 
Ushahidi wa kuhusu Bugirichato na wizi na ufisadi wake uko wazi kabisa mpaka kwenye ripoti za CAG usijifanye hulijui hilo. Hayuko juu ya sheria kwa maovu yake mbali mbali aliyotutendea Watanzania in trillions.

Haihusiani? Ni wangapi wanaface sharia kukiwa na ushahidi? Una ushahidi peleka kwa DPP kesi itafunguliwa. Two wrongs dont make a right.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Ww labda tukienda huko umeme uwe umekatika. Na watu wakiniuliza nawaambia ni bibi yangu kaja kwenye tiba taasisi ya Jakaya.
Unaumwa wewe,siyo bure.
 
Hii inaitwa MTU kala MTU,wameanza kulana wenyewe,ikiwa kweli itatokea namuona Mzee Wa Musoga akijilaumu kwa kumleta bwana yule,ila nahisi usije kushangaa Mzee Wa tabasamu na genge lake 2020 huyu bwana akarudishwa Burigi-chato kukaa na wanyama, kwani watakuwa tayari wamegraduate namna ya kuishi na binadamu.
 
Unafaa uwe diwani una akili sana, wengi hawaoni hilo
 
Ushahidi wa kuhusu Bugirichato na wizi na ufisadi wake uko wazi kabisa mpaka kwenye ripoti za CAG usijifanye hulijui hilo. Hayuko juu ya sheria kwa maovu yake mbali mbali aliyotutendea Watanzania in trillions.
Huna jipya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya pita lumumba kesho mapema ukachukue buku 7 zako kwa kuniambia mie sina jipya bali weye ndiyo mwenye jipya la kutumika na nduli kutetea maovu yake.

Huna jipya
 
Kama astahili kufunguliwa afunguliwe tu,wameifilisi sana nchi mb.wa hawa.
 
Kamwe huyo Mtu wako hatapata Urais hata wa TFF, Atabaki kubwabwaja mitandaoni sambamba na nyinyi wasaka buku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya pita lumumba kesho mapema ukachukue buku 7 zako kwa kuniambia mie sina jipya bali weye ndiyo mwenye jipya la kutumika na nduli kutetea maovu yake.
Ogopa sana mlokole akianza kunywa pombe ni aibu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…