Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote nchini humo.

Kwa mujibu wa Traore, mpango huu ni sehemu ya juhudi zake za kuhakikisha ustawi wa wananchi, hususan wazee, na kuondoa mzigo wa gharama za maisha kwa watu waliotumikia taifa kwa muda mrefu. Aliongeza kuwa dhamira yake ya baadaye ni kuhakikisha kuwa huduma hizo zinapatikana bure kwa watu wote nchini Burkina Faso.

“Kila mtu anapaswa kuwa na haki ya kupata maji safi na umeme. Hizi ni huduma za msingi ambazo watu hawapaswi kulipia,” alisema Traore.

Mpango huo umepongezwa na wananchi wengi wa Burkina Faso na wadau wa haki za binadamu kama hatua chanya ya kijamii na kiuchumi.🙌

FB_IMG_1747627936889.jpg
 
Kwetu kwa gharama yoyote ilibidi tupate kiti WHO.

Tuko kwa mionekano ya kisiasa zaidi, si substance.
 
Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote nchini humo.

Kwa mujibu wa Traore, mpango huu ni sehemu ya juhudi zake za kuhakikisha ustawi wa wananchi, hususan wazee, na kuondoa mzigo wa gharama za maisha kwa watu waliotumikia taifa kwa muda mrefu. Aliongeza kuwa dhamira yake ya baadaye ni kuhakikisha kuwa huduma hizo zinapatikana bure kwa watu wote nchini Burkina Faso.

“Kila mtu anapaswa kuwa na haki ya kupata maji safi na umeme. Hizi ni huduma za msingi ambazo watu hawapaswi kulipia,” alisema Traore.

Mpango huo umepongezwa na wananchi wengi wa Burkina Faso na wadau wa haki za binadamu kama hatua chanya ya kijamii na kiuchumi.🙌
😆😆😆😆😆

Kwahiyo itakua Mupe muluke sio? Nyumba yenye muzee mupe na yenye kijana muluke?

Naenda huko…. Wazee Twendeni burkina
 
Hapa kwetu bei ya umeme ni sawa na bei ya used IST kule Japan.

Licha ya bei kubwa, lakini kila ukinunua umeme lazima ulipe 18% VAT + 4% (REA +Ewura)+ property tax (1500/=)
Kwa nini serikali isiondoe vat kwenye uneme?
 
Ajabu wanatushauri kwenda Burundi badala yake.
 
Hapa kwetu bei ya umeme ni sawa na bei ya used IST kule Japan.

Licha ya bei kubwa, lakini kila ukinunua umeme lazima ulipe 18% VAT + 4% (REA +Ewura)+ property tax (1500/=)
Kwa nini serikali isiondoe vat kwenye uneme?
Labda VAT ndiyo unafanya bei ya Umeme ipande ifikie kwenye levellized cost of Energy (LCoE). LCoE ni bei ya unit Moja ya Umeme ambayo inatakiwa ilipwe ili gharama za uzalishaji, usambazaji, na huduma nyingine zinazo husu uendeshaji wa masuala ya Umeme ziweze kurudishwa Kwa muda wote wa uhai wa miradi ya Umeme.
 
Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote nchini humo.

Kwa mujibu wa Traore, mpango huu ni sehemu ya juhudi zake za kuhakikisha ustawi wa wananchi, hususan wazee, na kuondoa mzigo wa gharama za maisha kwa watu waliotumikia taifa kwa muda mrefu. Aliongeza kuwa dhamira yake ya baadaye ni kuhakikisha kuwa huduma hizo zinapatikana bure kwa watu wote nchini Burkina Faso.

“Kila mtu anapaswa kuwa na haki ya kupata maji safi na umeme. Hizi ni huduma za msingi ambazo watu hawapaswi kulipia,” alisema Traore.

Mpango huo umepongezwa na wananchi wengi wa Burkina Faso na wadau wa haki za binadamu kama hatua chanya ya kijamii na kiuchumi.🙌

Kahaba wa nchi ya wagagagigikoko anasemaje
 
Kama ilivyo bongo matibabu bure kwa wazee ,Elimu bure, kujifungua bure
Ndoa mnadanganywa hivi ehh.jana tu binti yangu kajifungua tumenunua kila kitu,wazee kila leo wanalia na kufa bila tiba,elimu michango kama Kawa hiyo hisa achia.
 
Hapa NI mavi yetu na ma vxr 2024 kipaumbele Cha wabunge na mawaziri...majinwange tupa hata bure tulime mabustani na majani ya mifugo
 
Ndoa mnadanganywa hivi ehh.jana tu binti yangu kajifungua tumenunua kila kitu,wazee kila leo wanalia na kufa bila tiba,elimu michango kama Kawa hiyo hisa achia.
Wewe uko Tanzania?
Ni bure.
 
Back
Top Bottom