Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

Bongo pamoja na kuwa na umeme wa kumwaga bado tunahamasisha watu watumie gesi ili tununue kutoka ughaibuni... Kikuliacho Ki Nguoni Mwako....


 
Labda VAT ndiyo unafanya bei ya Umeme ipande ifikie kwenye levellized cost of Energy (LCoE). LCoE ni bei ya unit Moja ya Umeme ambayo inatakiwa ilipwe ili gharama za uzalishaji, usambazaji, na huduma nyingine zinazo husu uendeshaji wa masuala ya Umeme ziweze kurudishwa Kwa muda wote wa uhai wa miradi ya Umeme.
Serikali inatoa huduma na siyo kufanya biasha.

Pia, Miradi yote ya serikali inalipiwa na kodi za wananchi

Hivyo, walipa kodi wa Tanzania wanategemea miradi iliyo/inayojengwa kwa kodi yao itoe huduma kwa gharama nafuu na siyo kwa gharama za kuwakomoa

Tanesco inaweza kuongeza mapato yake sasa kwa :

1. Kuongeza watumiaji wa umeme kutoka asilimia 45 ya sasa hadi asilimia 90. Pesa za kutekeleza hilo zipo: soma ripoti ya CAG juu ya idadi ya pesa zilizotumika bila maelezo

2. Kuondoa kodi zote kwenye umeme. Hii itapelekea watu kununua na kutumia umeme mwingi zaidi.

PS:
Umewahi kujiuliza:
1. Kwa nini bei ya Petrol Rwanda ni Tsh 2500/litre?

2. Kwa nini bei ya umeme sudan au Ethiopia au Uganda au zambia ni ndogo mara 60 ya bei ya Tanzania?

PS 2
Ukiwa na mawazo tofauti au data Njoo ukosoe au utukane.
 
Back
Top Bottom