Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Well said mkuu kama mchezaji aliusoma mkataba na akakubaliana na kiasi hicho shida sio yanga, shida ni huyo mchezaji kwa kuona ni sawa kwa anacholipwa.
 
Ndo maana uwezo wa mashabiki wa simba kufikiri ni mdogo sana
Viongozi wao wamewekeza kwenye propaganda za hali ya juu sana
Na viongozi wao wameshawajua kuwa ni wajinga na ndio maana Manzoki wakaletewa siku ya uchaguzi na wakafurahi sana.
Mayele katembelea kambi ya Simba Misri wakafurahi sana na boss Mo akaandika mtandaoni "niseme au niseme"
Wakatolewa mashinindanoni FA na CAFCL wakaona apewe airtime Mayele afunike.

Wameenda Singida wametoka sare na Ihefu huku Yanga akishinda kwa kishindo wakaamua kuja na mishahara ili kuwapofusha wana Simba na kuivuruga Yanga.
 
Mshahara halisi anaujua mwenyewe Mzize na Diara. Kwani wewe hauna uwezo wa kukaa na kutengeneza chart kama hivyo? Au hapo kuna uthibitisho upi unaonesha kuwa Yanga wanalipa hiko kiasi cha pesa kwa wachezaji?
Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!

Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
 
Viongozi wenu wanajua kucheza na akili zenu sana mashabiki wa simba
Msimu wa tatu simba ana hatari ya kuchukua makombe mawili tu ndani ya misimu mitatu

Ili kuwapoteza maboya wana cheza na propaganda kama hizi ili kuwapoteza maboya
Tufanyaje basi...
 
Acheni unafiki, mishahara kwa wachezaji ni makubaliano, Mzize alikuwa bodaboda. Kama wamekubaliana alipwe laki 6 kwanini wewe ulalamike.
Mfano rahisi umeajili mfanyakazi wako wa ndani utamlipa kiasi gani? Utamlipa kutokana na kile mlichokubaliana au kile anachosemewa na watu wa nje. Muhimu hao wachezaji watafute mawakala wanaojielewa .
 
Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!

Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
umemchana live
 
Hii kitu haitawaokoanabalaala kufungwa goli nyingi.
Andaeni timu yenu Mpira siyo siasa.
Simba msijepoteana timu ikavurugika baada ya tarehe 20 April 2024.
 
Haya Mambo Magumu Na Tatizo Sijui Wizara Ya Utamaduni, Sanaa Na Michezo Ana Tanzania Football Federation. Wazawa Wanatakiwa Wawekewe Mazingira Mazuri Ya Salaries
Maana Ndiyo Tegemeo La Timu Ya Taifa Na Matokeo Mazuri
 
mashabiki wa simba wengi wao wanaupeo mdogo sana na hii inatoa mwanya viongozi wao kutumia propaganda kuwachezea
Mashabiki wa simba huwa hawana hasara timu ikipigwa.

Arsenal ilipopigwa hivi juzi sisi Mashabiki wake tuliopo bongo hatukupata hasara yoyote.

Tafuta hoja nyingine ya kutetea dhurma kwa wachezaji wazawa hapo Yanga.
 
Kuongoza simba ni rahisi sana hata msimu uliopita timu imekosa makombe yote wakahakikisha saido anaondoka na kiatu mashabiki waliridhika sana kana kwamba wamechukua kombe

Kuna mambo mashabiki wa Yanga hawawezi entertain hata mara moja
 
Sijui ni tokea zamani wapo hivyo au siku hizi za karibuni tu wamekuwa na maarifa madogo kiasi hiki, yaani wameonesha ni wepesi kudanganyika na hawana uwezo wa kufanya reasoning.
Mfano kwenye interview ya Mayele wakabeba maelezo na kufurahia kama yalivyo lakini wakashindwa kujiuliza kama Mayele amedai ana uvimbe hadi sasa na yale mahojiano yamefanyika kwenye TV je kwanini mtangazaji na Mayele wameshindwa kuwaonesha mashabiki huo uvimbe unaozungumziwa? Wamefanya mahojiano utafikiri uvimbe upo sehemu ya siri.

Hili la mshahara wa wachezaji, mtu anashindwa hata kufikiria kuwa hakuna hata kinachothibitisha kuwa hiyo ndio mishahara inayolipwa na Yanga. Na hiyo chart kutengeneza hata mtoto wangu anaweza kutengeneza hivyo lakini wakabeba kama ilivyo bila kufikiria source ya hiyo chart imetoka wapi. Na kipi kinachothibitisha kuwa ni mishahara ya wachezaji wa Yanga.
 
Mashabiki wa simba huwa hawana hasara timu ikipigwa.

Arsenal ilipopigwa hivi juzi sisi Mashabiki wake tuliopo bongo hatukupata hasara yoyote.

Tafuta hoja nyingine ya kutetea dhurma kwa wachezaji wazalendo hapo Yanga.
Kwa hiyo mashabiki wote wa simba Tanzania na duniani unawajua na unauhakika hawaumii timu inapofanya vibaya kama sahivi
Usipende kuishi kwa kujifariji
 
Kwa hiyo mashabiki wote wa simba Tanzania na duniani unawajua na unauhakika hawakuumia
Usipende kuishi kwa kujifariji
Utaanzaje kuumia kwa kitu ambacho hujakigharamikia?

Ikiwa wewe huwa unaumizwa pale timu usiyoigharamikia ikifungwa basi utakuwa u mpumbavu na lofa tu 😁
 
Kumbe Feisal alivyosema alikua anakula ugali na sukari hakua anatania? Na hapo bado unakuta wanacheleweshewa mshahara hata miezi mi 3
Kati ya sukari na fungu la bamia au mchicha kipi kina bei ghari?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…