Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!

Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
Kwa kutumia hiyo glabal village yako nitajie mshahara wa Try again na CEO Kajula pale Simba ni kiasi gani wanalipwa?
 
Unatatizo kubwa sana la akili
Ila simba imefanya watu wanaongea mambo ambayo hata hayaeleweki
Usiyeeleweka ni wewe hapo.

Hivi kwa akili yako kweli unawezaje kuumia pale mangi anapopata hasara kwa biashara yake huku ukiwa hujawahi kugharamikia mtaji wa biashara hiyo?

Acha ujinga kwa kukua kifikra.
 
Uongo uliopitiliza.
 
Wasikitikie Watanzania wenzio huko viwandani wanalipwa Tsh 7000 kwa siku alipe chakula na nauli hapo hapo na arudi na hela home unawaangaikia hao ambao mambo yao wanafanya wakiwa na wanasheria? Na matakata yote...
 
Wamatopeni Kolouzidad Wameona Viwanjani Imeshindikana Sasa Wamehamia Kwenye Propaganda
 
Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!

Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
Kwa kutumia hiyo glabal village yako nitajie mshahara wa Try again na CEO Kajula pale Simba ni kiasi gani wanalipwa?
 
Kwa kutumia hiyo glabal village yako nitajie mshahara wa Try again na CEO Kajula pale Simba ni kiasi gani wanalipwa?
Anzisha uzi kuhusu hao kisha nitag nitatoa mchango wangu huko kwa kujibu maswali yako.

Kwa huu uzi tunaangalia tofauti za salaries kati ya Mzize na Guede, tujikite hapo kwa huu uzi.
 
Anzisha uzi kuhusu hao kisha nitag nitatoa mchango wangu huko kwa kujibu maswali yako.

Kwa huu uzi tunaangalia tofauti za salaries kati ya Mzize na Guede, tujikite hapo kwa huu uzi.
Nilitaka nione jinsi gani ulivyokosa upeo wa kufikiria na hilo swali nilijua tu lipo nje na uwezo wako. Unafikiria kwavile tupo kwenye global village basi kila kitu utakijua? Kama mshahara wa Try again na CEO wenu Kajula umeshindwa kuujua je hiyo global village yako imekusaidia nini?
Hata mishahara ya wachezaji wa Yanga haiwezi kujulikana kwavile ni global village, kwasababu hiyo hiyo global village imeshindwa kukupa msaada kuujua mshahara wa Try again na CEO Kajula
 
Hukumalizia gamond!
 
Jamaa anaakili ndogo au stress za timu yake kufanya vibaya zinamuumiza sana kwa hiyo anatumia nguvu kubwa kujifariji kwa kutafuta habari za uongo juu ya Yanga alafu analazimisha ni uongo
 
Kumbe nazozana na amphibian 😂😂
 
Kuna kitu kinaitwa ranking! Hapa hadhi ya mchezaji ndipo inapoonekana. Na hili sio swala la kushangaa hata kidogo. Mchezaji kadri anavyo perform uwanjani na kusaidia timu kupata makombe na ranking yake inapanda. So mm sishangai.
 
Nina wasiwasi na hiyo list. Pacome kulipwa 3m na Maxi kulipwa 2m ni uongo uliokubuhu. Pia Farid mwenye exposure ya Ulaya kulipwa 750k haiji kabisa. Chanzo cha hiyo taarifa ni kipi?
Mkuu, hii imeletwa na watu Simba, wanajisahau tu ila tarehe 20 watahadithia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…