DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
 
Na wewe Kwa nini hujaenda kuhudhuria ili ulipwe hayo mapesa?
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Kodi zenu
 
Kabla ya kuhoji hela zimetoka wapi tuletee ushahidi wa unachokisema.

Je ushahidi wa unachokidai uko wapi ?

Unaanzaje kuhoji jambo ambalo halijathibitishwa hata na wewe mwenyswe ?
 
Kumbe INADAIWA...

INADAIWA INADAIWA.....hisia

Umesema nchi yenye kila aina ya dhiki?!!

Si kweli...hauko serious ?!!

Lini ulisikia MTUHUMIWA aliyeua raia wenzake 30 akatoroka kutoka kituo cha polisi ?!!!

Lini ulisikia Tanzania inaongozwa kwa misingi ya UKABILA ,UBAGUZI WA KIDINI NA KIKANDA?!!

Hizo ndizo dhiki....

Dhiki ziko kule wanaoangaliana kwa wajihi wa rangi na mbinuko wa pua zao.....

Unateseka na "mindset" yako ya ajabu ajabu

#JMT milele dumu [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Mkuu haka kanchi ukiwa chawa umetusua, hizo pesa ni zawalipa Kodi.
 
Kabla ya kuhoji hela zimetoka wapi tuletee ushahidi wa unachokisema.

Je ushahidi wa unachokidai uko wapi ?

Unaanzaje kuhoji jambo ambalo halijathibitishwa hata na wewe mwenyswe ?
Kwamba Wahudhuriaje wale walipeperuka kutoka Tanganyika hadi kizimkazi, walikula upepo na wanalala kwenye minazi kama kunguru siyo?
 
Tangu lini Tamasha la utamaduni la kutangaza Utalii wa Tanzania ukawa ujinga?

Una uhakika wewe sio ndio kwanza inaonesha ujinga wako?
[emoji7][emoji7]
Toka mh.Samia aingie madarakani UTALII umeongezeka maradufu....yeye Erthyrocytes inamuuma...hapendi...anachukia mafanikio hayo....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe INADAIWA...

INADAIWA INADAIWA.....hisia

Umesema nchi yenye kila aina ya dhiki?!!

Si kweli...hauko serious ?!!

Lini ulisikia MTUHUMIWA aliyeua raia wenzake 30 akatoroka katika kituo cha polisi ?!!!

Lini ulisikia Tanzania inaongozwa kwa misingi ya UKABILA ,UBAGUZI WA KIDINI NA KIKANDA?!!

Hizo ndizo dhiki....

Dhiki ziko kule wanaoangaliana kwa wajihi wa rangi na mbinuko wa pua zao.....

Unateseka na "mindset" yako ya ajabu ajabu

#JMT milele dumu [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe nilshaku ignore, umerudije kwenye nyuzi zangu, Moderator nisaidieni kuignore huyu kapuku
 
Back
Top Bottom