Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
Atleast Chato ilikua kwenye ramaniKwani kabla ya 2015 nani alikuwa akiijua chato.?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast Chato ilikua kwenye ramaniKwani kabla ya 2015 nani alikuwa akiijua chato.?!
Haya hapa chini siyo dhiki?Umesema nchi yenye kila aina ya dhiki?!!
Si kweli...hauko serious ?!!
Kwani mama hana mshahara? Au kila kitu nyie mnajifanya wajuaji. Shida ni hii unemproyment rate iliyoachwa na jpm imehalibuu ubongo wenuHivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
😆😆😆😆Kwani mama hana mshahara? Au kila kitu nyie mnajifanya wajuaji. Shida ni hii unemproyment rate iliyoachwa na jpm imehalibuu ubongo wenu
Kwani lazima liwe Kizimkazi? Kama ni kutangaza utalii si lihamie hata Katavi? Si Kuna Mbuga?Tangu lini Tamasha la utamaduni la kutangaza Utalii wa Tanzania ukawa ujinga?
Una uhakika wewe sio ndio kwanza inaonesha ujinga wako?
Kwani kizimkazi haipo kwenye ramani?!. Magufuli alikuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anayetokea Chato mkoani Geita.Atleast Chato ilikua kwenye ramani
Jina lako bhana!😆😆😆Kwani kizimkazi haipo kwenye ramani?!. Magufuli alikuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anayetokea Chato mkoani Geita.
Samia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anayetokea Kizimkazi mkoa wa Kusini Unguja.
Visiwa vya Unguja na Pemba ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
SHIDA IKO WAPI?!
Jina langu lina nini?!Jina lako bhana!😆😆😆
Ni kodi na tozo zetu mama na wanawe wanazichezea kama mali yao binafsiHivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Katika ziara yake ya juzi hivi karibuni Kuna round about kaipita..Mama anahangaika tu,
Navyosikia wakishindwa kumgoa 2025
Wataa.....
Aanze kuaga tu